Say no to CHAPUTA

Ex member hapa nimeachana na chama.. Nilikuwa nimeshindikana 1tb ya external imejaa kisa zile HD porn za kila aina, kwangu zilikuwa kama chakula naziwaza tu kila siku.

Ilikuwa kila siku na jaribu kuacha lakini nashindwa. Mpaka nikakuta kikundi flani online reddit kinaitwa Nofap. Aisee kupitia story zao na support yao nikaweza kuacha; miezi 3 ya Mwanzo ilikuwa migumu lakini sasa nimeshasahau porn nimefuta, site zile zitii miguu tena.

Sasa hivi nipo kwenye harakati za kupata kademu ananizungusha wee lakini wapi mpaka kitaelewaka. Maana ile ilinifanya nione mademu hawafai.Nimepoteza nafasi nyingi sana hadi zile za demu kajileta mwenyewe nampotezea sababu ya puli

Na usiogope Acha kabisa puli pamoja na porn kwa muda wa siku 90.. Nakuhakikishia Confidence, sauti yako ya kiume itarudi, erections kama jiwe zita rudi, kusahau sahau kutaisha, mikono kutetemeka kutaisha n.k. Inachukua 90. Google "your brain on porn" kujifunza zaidi.Usisaha mazoezi kuongeza testosterone levels (hormone za kiume)
 
Acha then tia mamanzi kujiridhisha usiangalie sana kama wanaridhika slowly utarudi normal
 
kwamba una sifa zote za kutopendwa????????????????????
 
mi namshukuru mungu nimeacha na naelekea kumaliza mwaka bila kufanya hivo kitendo cha kwenda tu kuoga ilikuwa lazima nipige
 
Ngoja kwanza...., kwani kupiga selfie (nyeto) kuna noma gani..? BAKI NJIA KUU BRADHA...., BAKI CHAPUTA
 
na usingizi hapo hapo? Umenichekesha sana mkuu
 
Apparently, self dry snitching is the name of the game nowadays. Quite a price we're paying for being the digital generation.
 
Duh! kila siku mara tatu?
 

I felt wat u have just said
 
Asanteni wote kwa ushauri, nawafatilia vizuri.. kuhusu kutafuta dem shida ni kuwa bado nina wasiwasi na perfomance yangu niasije kuaibika

Huwo wasi wasi ndo utakufanya u underperform, jitahid kutowaza kuwa ukipata mwanamkea utashindwa kuperform, jijengee confidence.....ukiwa na confidence tu inatosha na utapiga nying za heshima
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…