Sawa walemavu wanafuturu leo Diamond jubilee? Je, watarudi vipi majumbani kwao?

Mjinga huyu anamuiga Mzee Mengi kutumia pesa kwa kulazimisha mifuko ya watu wengine, alitakiwa kujifunza ujasiriamali wa marehemu Dr, Mengi kwanza kwa kuzalisha mali na faida kiduchu ndio unagawia wanaohitaji mlo wa siku moja ili wakushukuru mwaka mzima,

Mtu maskini anatakiwa kupewa nyavu akavue kwanza, sio futari na juice kwa watu wasiofunga, huyu DAB anapiga sana pesa kwa hizi event sasa apelekewe CAG kutambua source ya hizo fund na zimetumikaje.
 
Kiziwi au kipofu au kiwete anapotoka jubilee saa mbili usiku anafikaje pugu kajiungeni?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom