Sawa walemavu wanafuturu leo Diamond jubilee? Je, watarudi vipi majumbani kwao?

Mwendo kasi nauli tshs 650 kwa route upo wa ferry to kimara, gerezani to kinondoni, gerezani to kimara na kimara to kinondoni. Route zingine itakuwaje, na ukumbuke Hawa wageni waalikwa ni walemavu na wana chagamoto nyingi.
UBA pia kuna za bei rahisi
yaani kisa usafiri kuna kukosa kweli?
 
Hili swala limekuwa kisiasa tena siasa chafu ambazo si za chama cha mapinduzi kabisa wala si busara kufanya mambo kwa kutafuta attention ya watu mengi alikuwa hafanyi hivyo kabisa.
Kama mkuu wa mkoa kiofisi anayo nafasi kubwa ya kuwasaidia walemavu kuliko kuwafuturisha siku moja na kuwaacha alafu akumbuke pia kuwa atawagusa walemavu wa dini ya kiislamu pekee hii haijakaa vizuri kabisa.Huyukijana ni limbukeni bashiru mshauri mwenyekiti afanye jambo usipepese macho kesho anaweza kuwapanda kichwani wote kumbuka chatu hafugwi.
 
Mwendo kasi nauli tshs 650 kwa route upo wa ferry to kimara, gerezani to kinondoni, gerezani to kimara na kimara to kinondoni. Route zingine itakuwaje, na ukumbuke Hawa wageni waalikwa ni walemavu na wana chagamoto nyingi.
Kwani walemavu wote wanaishi Kimara, kivukoni na ............
 
hawezi hataweza na hatathubutu... barabara toka mwenge hadi tegeta haina hata njia za kupita walemavu ! kuwafuturisha ni jambo dogo sana . atwambie ile miguu bandia ilishapata watu wake? walotelekezwa je? wajane je?
huhitaji kuwa hata umemaliza form four kujua kuwa makonda ni mpuuzi
 
Hili swala limekuwa kisiasa tena siasa chafu ambazo si za chama cha mapinduzi kabisa wala si busara kufanya mambo kwa kutafuta attention ya watu mengi alikuwa hafanyi hivyo kabisa.
Kama mkuu wa mkoa kiofisi anayo nafasi kubwa ya kuwasaidia walemavu kuliko kuwafuturisha siku moja na kuwaacha alafu akumbuke pia kuwa atawagusa walemavu wa dini ya kiislamu pekee hii haijakaa vizuri kabisa.Huyukijana ni limbukeni bashiru mshauri mwenyekiti afanye jambo usipepese macho kesho anaweza kuwapanda kichwani wote kumbuka chatu hafugwi.
Hata km sio mwislamu unaenda tu ukitaka, sio lazima uwe mwislam, ila swala la kurudi mahome ndo ishu itabidi wajipange watarudi vipi
 
hawezi hataweza na hatathubutu... barabara toka mwenge hadi tegeta haina hata njia za kupita walemavu ! kuwafuturisha ni jambo dogo sana . atwambie ile miguu bandia ilishapata watu wake? walotelekezwa je? wajane je?
huhitaji kuwa hata umemaliza form four kujua kuwa makonda ni mpuuzi
Wajane na waliotelekezwa kwani wamelalamika hawajasikilizwa? Hao si walishapewa mwongozo au sivyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom