Kwanza hakuna ubaya wa kupata A zote,au first class degree! Hata kwenye interview, hawaangalii vyeti tu, inategemea na Mambo mengi,ukienda kwenye mashirika kama UKAID, USAID, wanakuwa wanataka ujuekizungu kwa level Fulani, sasa kama nyie wawili mmoja ana first class, mwingine kawaida, lakini ana kizungu kizuri, watachukua huyu mwenye degree ya kawaida kwa sababu tu ametimiza level ya lugha,
Lakini, ukienda taasisi kama TISS,zinazokuwa zinatsfuta watu wenye IQ kubwa na walio analytical, wanapendelea waliopiga As tu, na wenye first class za degree,
Best mind, cleam of the nation, ni zile zilizosoma vyuo kama Harvard,
Angalia mawaziri wa UK, wote ni alumni wa vyuo Bora!
Sasa, uwezi, kuajiliwa, NASA, kama uwezo wako wa, kitaaluma, ni, mdogo,
Lakini sasa usilinganishe mtu kama Diamond, na mtu mwenye degree, ukasema mbona huyu wa LA saba ana mihela mingi, wewe degree yako haina maana, kwa vile tu huna mkwanja kama Mond!!
Ukiwashindanisha samaki na ngedere kupanda na kurukia matawi ya miti!
Samaki atachemka tu, sio eneo lake LA kujidai!
Mwenye First class degree mfanye academician, afanye tafiti,atunge codes za program, zinazokiwezesha kununua Luku, kwa namba ya simu, na kutuma hizo namba moja kwa moja kwenye mita!