Sawa una First Class degree, una A ya Hesabu na wewe ni best student. So what?

Ww mwenyewe unamatatizo amekuuliza swali unaanza kuleta kibehehi mara average student!!
Nyie ndiyo wale mlipata AAA HKL,HGE,ECA ,HGL mnaona mnakili kuliko mtu aliyepata DDD PCM,PGM,PCB!!
Wakat hiyo physics tu changanya H+K+L

Kebehi vipi. Huwezi kuwa A student na halafu usizijue big 4 ?
Maana hata vyuoni big 4 huwa wanakuja kila mwaka kwenye career fair na vyuo huwa vinabandika matangazo yao kwenye notice board ili finalist wanafunzi wenye gpa kubwa waanze ku apply. Na vigezo huwa vinawekwa kabisa.. average students wanapita pembeni maana vigezo vinawabana mapemaa

Haijalishi umesoma HKL ama umesoma PCB . Big 4 wanataka As tu kwenye vyeti vyako. Hawataki excuse za kusema mimi nimepata D sababu nimesoma Physics na yule amepata A sababu amesoma Language
 
Hujui hata big 4. Kweli wewe ni wale average ama C student .

Big 4 ni multinationals consultant firms.

Kuna KPMG, PWC, EY, na Delloite.

Hizi kampuni huwa zinaajiri wanafunzi waliofanya vizuri kutoka kwenye Top Universities kila nchi.

Mfano Tanzania huwa wanaajiri wanafunzi waliofanya vizuri wa udsm, udom , mzumbe, sua etc

Kila mwaka huwa zinaajiri new graduates

Mfano hao hapo madogo best students wa udsm kwenye picha. Wote wawili wameshaajiriwa PWC baada tu ya kuhitimu chuo
Kulikuwa na haja gani ya kumjibu hivi jamaa ?

"Hujui hata big 4. Kweli wewe ni wale average ama C student"
 
Mkuu, samahani Sana, lakini huenda nyie "vipanga" huwa mnasimangwa na "vilaza" sababu ya ujuaji Kama huu
Kebehi vipi. Huwezi kuwa A student na halafu usizijue big 4 ?
Maana hata vyuoni big 4 huwa wanakuja kila mwaka kwenye career fair na vyuo huwa vinabandika matangazo yao kwenye notice board ili finalist wanafunzi wenye gpa kubwa waanze ku apply. Na vigezo huwa vinawekwa kabisa..
Sio kweli kwamba kila chuo hao unaowaita big 4 huwa wanafanya hayo, Mimi hata sijawahi kusikia hizo corporations ulizotaja, besides kila Binadamu Ana dream yake sio wote wanaotaka kwenda huko

Kwa mfano, Kuna Mtu yeye akilini mwake anatamani kuajiriwa na Barick , Anglo Gold nk ila ,hivo sio lazima kila mtu ajue hayo mashirika/ kampuni unazojua Wewe

Pia sisi Binadamu tunatofautiana perception, tuchukulie Wewe umeajitiwa huko, alafu huyo jamaa unayebishana naye yupo GGM, kwangu Mimi nitaona huyu wa GGM Ana Maisha kuliko Wewe.

NB
Comment hii haina hata chembe ya chuki, nimelazimika ku comment hapa maana nimeona Kama unajimwambafai hivi kwa jamaa
 
Leo tuangazie wasongo.

Unaweza kuwa kumefaulu vizuri na unaweza kuwa ni bora masomoni. Lakini unapokuja mtaani watu hawataki kuona vyeti bali wanataka wasikie kitu tofauti ulichonacho ukifananisha na pengine wanavyovijua au vya wenzako ambao mupo pamoja kwenye interview (usahili)

Wengine ushangaa kuna wale ambao darasani walikuwa midiocre (vilaza) lakini kila interview wakienda upata kazi, ili sio suala la kupendelewa au sijui ana ndugu bali ni kitazamo wa fikra.

Kuna watu wanaajiriwa pasipo kuulizwa vyeti, yaani professional resume (wasifu wako wa kitaaluma) pekee unatosha kukupa kazi.

Phrase ya SO WHAT? Ni namna unavyotakiwa kueleza mafanikio yako ya kishule unayashabihiaha vipi na kitu watu wanafanya au wanataka.

Yaani umefaulu Computer science na first class sasa tuambie kwenye mfumo huu wa biashara ama kwa biashara yetu ama kwa wateja wetu taaluma uliyonayo utakuja na njia gani mbadala ya kuwezesha ubora wa biashara.

Namna yote utakavyo jinasibu inabidi isharabu kwa nafasi au majukumu unayotarajia kuyaganya kwenye fursa iliyoko mbele yako.

Kwa hivyo basi tumia muda mwingi kujigenga kwenye business environment yaani namna gani biashara inafanywa, mapungufu yalipo kisha buni jinsi utakavyoweza kutatua changamoto zilizopo au zitakazo kuja.

Kwa kujenga fikra za namna hii basi Muhitimu au mtafuta fursa utakuwa katika nafasi nzuri ya kupata nafasi.

TUZIDI KUTAFAKARI ZAIDI
Kwenye kampuni yangu nataka walio faulu tu. Huwezi sema una ka gpa ka 2.1 uwe sawa na mtu mwenye 4 au 4.5! Nyie hamfanani. Kama ulishindwa kuwa serious darasani hata kazini hutakua serious.
 
Mkuu, samahani Sana, lakini huenda nyie "vipanga" huwa mnasimangwa na "vilaza" sababu ya ujuaji Kama huu

Sio kweli kwamba kila chuo hao unaowaita big 4 huwa wanafanya hayo, Mimi hata sijawahi kusikia hizo corporations ulizotaja, besides kila Binadamu Ana dream yake sio wote wanaotaka kwenda huko

Kwa mfano, Kuna Mtu yeye akilini mwake anatamani kuajiriwa na Barick , Anglo Gold nk ila ,hivo sio lazima kila mtu ajue hayo mashirika/ kampuni unazojua Wewe

Pia sisi Binadamu tunatofautiana perception, tuchukulie Wewe umeajitiwa huko, alafu huyo jamaa unayebishana naye yupo GGM, kwangu Mimi nitaona huyu wa GGM Ana Maisha kuliko Wewe.

NB
Comment hii haina hata chembe ya chuki, nimelazimika ku comment hapa maana nimeona Kama unajimwambafai hivi kwa jamaa

Kwanza sio kweli kwamba GGM kuna maisha kuliko Big 4 ?

Dunia nzima narudia tena dunia nzima big 4 ndio zinaongoza kwenye ranking za best place kwa new graduate kuanzia kazi.

Pia kwenye key position za kampuni kubwa zote duniani mfano Chief Financial Officer lazima huyo mtu kwenye cv yake awe amewai kufanya kazi big 4.

Hata wa hiyo GGM uliyoitaja CFO wao lazima awe big 4 alumni, yaani kwenye CV yake amewai kuajiriwa big 4

Pia vyuo wanavyoenda big 4 ni vile top public universities..

Big 4 hawawezi kwenda vyuo kama Saut ama CBE kutafuta staff huko.

Big 4 huwa wanakwenda udsm na Mzumbe maana ndipo wanajua vipanga wanaowataka wapo huko.

Maana wanataka O level na A level uwe umepata A za kutoshaa
 
Sawa Mkuu.
 
Sababu Huu uzi umejaa kejeli. Average student wanawaponda A students.

Kichwa cha habari tu kinakejeli wanafunzi waliofanya vizuri darasani

Mimi ni A student lazima niwatetee A students wenzangu.
Hawachukui sisi wa A na B+?[emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]ila jamani GPA kubwa Raha bwanaa nikiangalia matokeo yangu natabasaaamuuuu
 
Kwanza sio kweli kwamba GGM kuna maisha kuliko Big 4 ?

Dunia nzima narudia tena dunia nzima big 4 ndio zinaongoza kwenye ranking za best place kwa new graduate kuanzia kazi.

Pia kwenye key position za kampuni kubwa zote duniani mfano Chief Financial Officer lazima huyo mtu kwenye cv yake awe amewai kufanya kazi big 4.

Hata wa hiyo GGM uliyoitaja CFO wao lazima awe big 4 alumni, yaani kwenye CV yake amewai kuajiriwa big 4

Pia vyuo wanavyoenda big 4 ni vile top public universities..

Big 4 hawawezi kwenda vyuo kama Saut ama CBE kutafuta staff huko.

Big 4 huwa wanakwenda udsm na Mzumbe maana ndipo wanajua vipanga wanaowataka wapo huko.

Maana wanataka O level na A level uwe umepata A za kutoshaa
Wa sauti na CBE mje hapa..[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji23]
 
Kwenye kampuni yangu nataka walio faulu tu. Huwezi sema una ka gpa ka 2.1 uwe sawa na mtu mwenye 4 au 4.5! Nyie hamfanani. Kama ulishindwa kuwa serious darasani hata kazini hutakua serious.
Sio kweli.Wengi wa wanaotuibia kwenye maofisi ya umma ni wasomi wenye vyeti vizuri tu.Labda kama unazungumzia nchi zingine ila sio hii.
 
Sababu Huu uzi umejaa kejeli. Average student wanawaponda A students.

Kichwa cha habari tu kinakejeli wanafunzi waliofanya vizuri darasani

Mimi ni A student lazima niwatetee A students wenzangu.
Watu wanataka waone matokeo ya hizo A kwenye mikataba ya bandari. Kila siku kuna ma TO hii nchi, wanaendaga wapi?
 
Back
Top Bottom