simple one
Senior Member
- Feb 24, 2014
- 168
- 69
Wewe nilikwambia umeme ukiwa ready niite ntazame mpira..kimyaaa...
Ngoja nije huko basi, nikute umenunua King'amuzi cha dstv kabisa. In two weeks time, nitatinga kibande hicho.
Mungu hutupa Njaa ili tuweze ku appreciate chakula tukikipata..unachopitia now kitakusaidia kum appreciate a good guy akija..the one for you...usiseme why me..sema why not me...
Karibu..azam tv ndo hot cake now
Siwezi kuwajibia wanawake mimi mwenyewe mwanamke!wewe mwanaume ndo unajua kama wanawake wasanii au lah!
Utazoea tu mamie... Yaan huwezi amini hiko ni kipindi cha mpito kwa wadada wengi. Mungu atakusaidia, make hujazaliwa naye.
Take heart.... Believe huyo hakuwa wako, wako yupo!
wanawake wapo baadhi yao wasanii,tena wasanii hasa
Huyu wa pili kama sikosei. Huku kuzoea sasa, kuna siku najua atakuja kuwa mteja wa Dr Hogan muhimbili!
......????............
Sikatai mkuu!
Ni aje banaaa unaniquote halafu hutii neno!? Mzima weye!?
nakumbuka,nishakuwa innocent nikaumizwa vile vile,..am trying a different life nako naona hali tete,sijui nilekee wapi,am so hopeless ryt now
Huyu wa pili kama sikosei. Huku kuzoea sasa, kuna siku najua atakuja kuwa mteja wa Dr Hogan muhimbili!
Pole sana
shameless boy gud for nothing tambua hilo hajaona umuhimu wako. Achana nae