Sauti......................... ........

Sauti......................... ........

DA sauti inasadia na inakupa uhakika haswa unapokuwa unaongea kwenye kundi la wanawake
Au kwenye kikao unaposisitiza jambo
Au home ukiwa na mke watoto wanajua baba anaongea
Au kwenye kundi la vijana au wanaume wenzako pia kuna command fulani ya sauti yako
 
oh! Interesting.............
 
DA sauti inasadia na inakupa uhakika haswa unapokuwa unaongea kwenye kundi la wanawake
Au kwenye kikao unaposisitiza jambo
Au home ukiwa na mke watoto wanajua baba anaongea
Au kwenye kundi la vijana au wanaume wenzako pia kuna command fulani ya sauti yako

Umenena vyema SM1
 
Juu juu ndo poa....
Halafu kuna kitu Uporoto alikisema siku moja kabla kikao cha kupanga kamati....Mnakumbuka wewe,Mtei na SweetLady?
Nilisema nini Erick ? naona nimekuwa celebrity flani chitchat siku hizi wala sipiti MMU lol!
 
Dena unajua kujiamini ni kitu cha kuzaliwa nacho lakini sauti kubwa inasaidia mwanaume kujiamini.
 
Eish! sredi imechakachuliwa mpaka na mtoa mada! sasa sijui nianzie wapi kuijadili au tuendelee tu kuichakachua?
 
Hahaha! unajua baada ya kuchakachuliwa majukwaa mengine ndio tukafunguliwa chitchat ambayo pamoja ya kujadili tunasalimiana,taniana n.k. Chichat maana yake chatter =talking about nathing in particular kwa maana hiyo =kelele.
 
DA mambo,

Dahhh sijawahi kukutana na mwanaume ambae yuko insecure with his voice.
Ila kwa kipande kingine vijina wenye sauti nzito wanavutia sana.
 
Hahaha! unajua baada ya kuchakachuliwa majukwaa mengine ndio tukafunguliwa chitchat ambayo pamoja ya kujadili tunasalimiana,taniana n.k. Chichat maana yake chatter =talking about nathing in particular kwa maana hiyo =kelele.
ha haaaaaaaaaaaaaaaa, I love your polite way of telling me to shut up!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom