afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,152
- 9,268
Uporoto hujambo?Dena unajua kujiamini ni kitu cha kuzaliwa nacho lakini sauti kubwa inasaidia mwanaume kujiamini.
Hivi hata sauti si kitu unazaliwa nacho au?
Uporoto hujambo?Dena unajua kujiamini ni kitu cha kuzaliwa nacho lakini sauti kubwa inasaidia mwanaume kujiamini.
Uporoto hujambo?
Hivi hata sauti si kitu unazaliwa nacho au?
You can say that againDA mambo,
Dahhh sijawahi kukutana na mwanaume ambae yuko insecure with his voice.
Ila kwa kipande kingine vijina wenye sauti nzito wanavutia sana.
Hahahahaaaaa hapo niliingia chaka
Lol jooob true true
Lol unatafutwa kuleeeee kuna kesi kaiibua Bagah yan hiyo kashfa sijui utajisafishaje kwa JamiiUcdandie gari kwa mbele. Utaumia kijana
Juu juu ndo poa....
Halafu kuna kitu Uporoto alikisema siku moja kabla kikao cha kupanga kamati....Mnakumbuka wewe,Mtei na SweetLady?
Mimi sauti yangu nzito kama ya Barry White...wataka nije nikuimbie mwimbo gani Dena Amsi!.Habari zenu wote......
Hapa nazungumzia sauti kwa wanaume (Msinipige mawe)
Napenda kupata maoni yenu may be mie nakosea
kufikiria hivyo.......................
Nimekuwa nikiona mwanaume mwenye sauti nzito (besi)
huwa wanakuwa na confidence sana katika kuzungumza
kuliko wale wenye sauti nyembamba kama ya wanawake
huwa hata hawapendi kuzungumza sana wanaona kama
hawaheshimiwi hivi wanakuwa hawajiamini sana kama hawa
wenye sauti nzito (nimekutana na mmoja jana) mwenye sauti
nyembamba alikuwa akiongea bila kujiamini kabisa.........
Nikamuuliza mbona unanielekeza kitu huku huna confidence
akasema huwa sipendi kuongea sana sauti yangu ina shida
sikutaka kumuuliza sana nilijua ni shida gani anayozungumzia
Wanaume mpo??? Hebu nipeni mauzoefu yenu tafadhali
DA
Lol unatafutwa kuleeeee kuna kesi kaiibua Bagah yan hiyo kashfa sijui utajisafishaje kwa Jamii
Hapana dear will never do that its always a pleasure to hear from you.ha haaaaaaaaaaaaaaaa, I love your polite way of telling me to shut up!
Sijambo dear kuna watu wana sauti kubwa ambao hawajiamini. Nakutumia my other no. sijasikia sauti yako in a long time namba ile ingine ilipata hitilafu hope your ok.Uporoto hujambo?
Hivi hata sauti si kitu unazaliwa nacho au?
Ngoja nikupigie maana mie ndo nimekutafuta sana
oh! that's so sweet.............. I appreciate.Hapana dear will never do that its always a pleasure to hear from you.