Sauti......................... ........

Sauti......................... ........

Nyie watu mbona mnachakachua siredi..........

Wapi SL??

Erick na Bagah nyie watu nyie nitawachapa viboko
SL ameenda kumtafuta Nitonye hajaonekana tangu jana jioni....
Halafu Dena huyu dogo Bagah anapenda kunipasua sana Kichwa ila nishamzoea usijali
 
Erick wewe bana kila nikisoma post zako nacheka sana
Wewe mgovi wewe.........
BTW: Maandalizi ya harusi yanakwendaje
 
Teh siunajua maisha unapaswa kuwa na raha tu wakati wote....
Nimemuona SL amekuja dah nilimmiss sana lol
SweetLady Karibu tulikumiss sana
 
Hahaha! Usiponitaja mimi na nitonye hupati raha kabisa lol.

Ngoja nimshauri Dena anisindikize tuje kukuchangie... Erickb52 siku hizi unashika namba moja kwa kuchakachua sred..
 
samahani ndugu!wananichokoza wenyewe!
Nani anakuchokoza wewe????
Umekalia majungu tu....
Halafu kikao cha mwisho wamekupendekeza uje kuwa mwenyekiti wa Kamati ya wanywa Gongo!
Lol
 
Teh siunajua maisha unapaswa kuwa na raha tu wakati wote....
Nimemuona SL amekuja dah nilimmiss sana lol
SweetLady Karibu tulikumiss sana
Asante shem, niletee passion ya baridi tafadhali nimekimbia hadi majasho...
 
Hahaha! Usiponitaja mimi na nitonye hupati raha kabisa lol.

Ngoja nimshauri Dena anisindikize tuje kukuchangie... Erickb52 siku hizi unashika namba moja kwa kuchakachua sred..
Haaaaa kuchakachuaje tena?
 
Asante shem, niletee passion ya baridi tafadhali nimekimbia hadi majasho...
Hahahahaaaaaa
Ngoja nikuletee kinywaji alichobakiza mumeo....
Hope unakijua na sidhani kama utakiweza....
 
Erick wewe bana kila nikisoma post zako nacheka sana
Wewe mgovi wewe.........
BTW: Maandalizi ya harusi yanakwendaje
Yaani Dena nimejitahidi kweli kuchunga wasichakachue, nimewashindwa mpendwa,
Erick,
BAGAH na
Mtei One wakishaingia kwenye sredi khaaa, kazi yao kubwa ni kuchakachua mwanzo mwisho lol....
 
Yaani hawa jamaa siwawezi wanaongoza kuchakachua
Hata mimi nimeshawashindwa kabisa maana nilivyosema
ndo kabisa wamezidisha kuchakachua dawa yao naijua
 
Duh hii ni kashfa aisee na mnaopaswa kutuomba msamaha aisee
Dah wanajamii watatuona wote wachakachuaji kumbe ni Bagah na Mtei tu
 
Yaani hawa jamaa siwawezi wanaongoza kuchakachua
Hata mimi nimeshawashindwa kabisa maana nilivyosema
ndo kabisa wamezidisha kuchakachua dawa yao naijua
Dena naamini we huna shida na hawa wadogo zako eeeh
 
unaona sasa unajichakachua mwenyewe!...ngoja sasa!
Hivi unajua Dena anafanya mpango wa kukulaza bakora za kutosha ukome maana anaona umezidi umbea na majungu mtaani humu kwenye jamiiforums....
we ngoja mi simooooo
 
Dah, mwanamme mwenye sauti kama kwaya masita. Pole zake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom