Sauti......................... ........

Sauti......................... ........

Habari zenu wote......

Hapa nazungumzia sauti kwa wanaume (Msinipige mawe)
Napenda kupata maoni yenu may be mie nakosea
kufikiria hivyo.......................

Nimekuwa nikiona mwanaume mwenye sauti nzito (besi)
huwa wanakuwa na confidence sana katika kuzungumza
kuliko wale wenye sauti nyembamba kama ya wanawake
huwa hata hawapendi kuzungumza sana wanaona kama
hawaheshimiwi hivi wanakuwa hawajiamini sana kama hawa
wenye sauti nzito (nimekutana na mmoja jana) mwenye sauti
nyembamba alikuwa akiongea bila kujiamini kabisa.........
Nikamuuliza mbona unanielekeza kitu huku huna confidence
akasema huwa sipendi kuongea sana sauti yangu ina shida
sikutaka kumuuliza sana nilijua ni shida gani anayozungumzia

Wanaume mpo??? Hebu nipeni mauzoefu yenu tafadhali

DA
DA mzima wewe?

Huu uzi wako naomba nichangie kwa sauti ya chini coz anayeniwekeaga mshahara banki sauti yake ni km kabint kalikovunja ungo jana sasa nahofia akinisikia anaweza nicheleweshea changu mawisho wa mwezi!

Yani huwa ana aibu,huko kwenye meeting ndio usiseme hua hana comment au ana agree kila kitu!!

Binafsi napenda sauti nzito na tamu km ya papa rejao mme wangu lol!
 
Ha ha ha ha hiyo bold hiyo nimecheka sana aisee

Nimekusoma
 
Nyie watu mbona mnachakachua siredi..........

Wapi SL??

Erick na Bagah nyie watu nyie nitawachapa viboko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom