Sauti......................... ........

Halafu wa Kike wakiwa na sauti za kiume wanakuwa na confidence,hawaogopi na wakorofi. Ingawa wanakera sana ukiwa nae.
Anapoteza sifa ya kike.
 
Sauti zito silaha kwa mwanaume!!!hata katika tasnia ya filamu bongo apart from good looking ila wanaume wenye sauti nzito hufanya vizuri sokoni kwakuwa zinasikika pouwa tofauti na wauza sura waliovamia fani na visauti vyao vyembamba!!!
 
Back
Top Bottom