Martin Luther Jr
JF-Expert Member
- Apr 19, 2017
- 721
- 207
Aisee
I second you as this is said by a man..... thanks for revealing the truth.GENERAL RULE: "A man will say anything just to get in your pants."
Let exceptions happen to others, as for Kasie A General Rule is perfect ...!!😛HOWEVER: "There are always exceptions to the general rule."
Kasie's brain is always on...Akili kumkichwa...
Hhhahahahahhaaa atii tashwishwii looh umenikumbusha mbaliii...... enzi za Mwalimu....Hahaha Kasie huishi kutupa tashwishi kwa threads zako.
Hapo ndo mwisho aka The End... aka Finito... sijaikatisha hataa, Kasie hafichagi vitu mbona, anasemaga yote hapahapa kama kuna lililotokea husema ila kama hakuna pia ntasema hakuna kilichotokea... kukiwa na utamu naanzaje sasa kukatisha na kuacha kusimulia...Hii stori umeikatisha![]()
Nakumbuka siku za nyuma kuna mtu nilikiwa nawasilina nae mara kwa mara kupitia simu,ikafikia hatua nimkajengea hadi taswira,siku moja aifika kuchukua bidhaa zake ofisini,ahmad kibondoni,silka zangu ziliniangusha kwa kweli,wajihi wake haukufanana hata kidogo na umbile la sauti yake
Ah....hpo ndio nnapowapendea wanawake awe na miaka 18 ama 30 akili zao znafanana yaani hyu kusifiwa tu keshaamini km kweli sauti yke imemvuruga jamaa hakuna cha sauti wala nn jamaa keshakujengea picha kichwani anataka kidoti hcho ndio tabia zetu kiumeni mtoto wa kike ukimsifia lazma avurugwe c mmeona hyu hadi kaja anzisha uzi hp!
Story hii bila ka audio cha hiyo sauti inakuwa hainogi.
Yeah ni kweli, nashukuru Mola amenifunulia macho ya kuona walio mawindoni na walio na kheri...Ila mwanaume akiwa mawindoni ana mbinu lukuki,
Asantee, karibu uendelee kuburudika na kufurahia mwandiko.ila bibi una mwandiko mzuri nimejikuta nasabscribe uzi ili niendelee kuusoma.
Sijui kama utapata nafasi nikupeleke mahali ukaone maajabu ya kuvua samaki tani 1 kwenye dimbwi.
Usiku mwema kama upo ukanda wa Afrika mashariki.Nashukuru kwa salamu babuu, karibuuuu salamu zako nimeziitikia nami nakusalimia pia, hujambooo??!!
Mentor upo? Siku nyingi sanaaaa! Siwezi sahau ile story yako ulotuambia umeathirika. Hahaha you are a very good story teller
hahaha kiswahili lugha tamu kama maji ya mtungi wala hakiishi hamuHhhahahahahhaaa atii tashwishwii looh umenikumbusha mbaliii...... enzi za Mwalimu....
Hapo ndo mwisho aka The End... aka Finito... sijaikatisha hataa, Kasie hafichagi vitu mbona, anasemaga yote hapahapa kama kuna lililotokea husema ila kama hakuna pia ntasema hakuna kilichotokea... kukiwa na utamu naanzaje sasa kukatisha na kuacha kusimulia...
Dooh pole sana aiseeh kwa kuvunjika moyo na kukata tamaa baada ya kumuona uliyesikia sauti yake kabla. Hayo hutokea sana maishani hivo nakulaga kobisi tuu kiutu uzima heheheee.
Hapo nilipo bold, wewe ni mtu wa pili kukusikia unasema huo msamiati, hilo neno linamaanisha hisia? ni silka au sulika?
Alamsiki...
aliyeimba kinyago cha mpapuri humkumbuki, alipakiwa hadi ndege kwenda arabuni sijui kwa ajili ya mwarabu kasikia sauti tu