Sauti yaleta balaa..

Sauti yaleta balaa..

Nimegundua kasie ni mpenzi wangu nipeni ushauri wadau kwa mwenendo wake niachane naye au nimsamehe
 
Habari ya kitambo mabibi na mabwana wa jamiiforum. Natumai mnaendelea vyema katika shughuli zenu za kutafuta kipato, salamu ya pili iende kwa familia zenu, waambie Kasie anawapa Hi5!!

Baada ya salamu wacha niende kwenye tukio husika....

Kwa siku mbili tatu hizi ambazo nilipotea hapa nilikuwa mahali flani hivi nje ya South Afrika kuhudhurua moja ya warsha ambazo kampuni nnayofanyia kazi ina maslahi na warsha hizo. Nikiwa pale kuiwakilisha kampuni, niliteuliwa kuelezea makala iliyoandaliwa na kampuni yetu kwenye warsha hiyo na kama wadau wengine walioshiriki wakiikubali basi husaini mkataba wa makubaliano kibiashara hivyo kufanya kampuni yetu kuingiza hela na mie bonasi yangu ya mwaka inapanda.

Wakati uliwadia nikapanda kwenye kizimba kilichoandaliwa, nikaanza kuelezea na kudadavua kuhusu yote niliyoyataiwa kuyaelezea. Hadhira yote ilikuwa makini kunisikiliza na niligundua wengi walikuwa wananakili notsi. Baada ya kumaliza kuelezea makala hayo maswali na maoni yakaanza nakwambia hadi muda niliopangiwa ukapita kwasababu kulikuwa na kampuni nyingine ambazo nazo zilikuwa zinamakala ya kuelezea.

Nilipomaliza na kushuka kizimbani nilipiigiwa makofi na hadhira nzima tena kwanguvu.... hadi nikaona aibu nikawa narudi kwenye kiti changu huku natabasamu. Muda wa mchana ulipofika, kwenye mlo wa mchana wengi walifika kunisalimia na kuomba kadi yenye taarifa zangu (business card) wengi wao wakiwa wanaume. Wakati napata maakuli kijana mmoja alinifata mezani na kuomba jioni baada ya warsha tukae tuongee. Kwakuwa ilikuwa warsha ya kikazi nikakubali maana nikifanikiwa kufunga dili la kibiashara kwa ajili ya kampuni basi na mie mgawo wangu wa bonasi unakuwa mkubwa.

Jioni ya siku hiyo, nikajipara tayari kuongea na mdau, basi blaah blaah zikaanza mara mkaka akaanza kufunguka. Unajua Kasie, wakati uaelezea makala ya kampuni yenu sikuwa nasikiliza kitu wala kuelewa zaidi ya kubembelezwa na sauti yako....

Nikatabasamu na kuishia kucheka... Kaka akafunguka zaidi, kasie sauti yako matata, tamu, sikivu,......mwisho maongezi yakahama kabisaaa na kuelemea mrengo wa kushoto hheheheheee Kasie ni shiiideeerrr....... Huyo kijana alikuwa ni muafrika ila raia wa Ufaransa....

Basi baada ya warsha kuisha kila mtu akarudi eneo lake lazi, na hadi leo huyu kaka tunawasiliana vyema tu..... kimeishia hapo hehehehheeee......

Kilichonifanya niulete huu uzi hapa, nilijiuliza sana... hivi sauti ya mtu inaweza mfanya mwanaume au mwanamke amdondokee kimapenzi mwanamke / mwanaume...??

Halafu kuna ile, uko mahali unasikia sauti ya mtu bila kumuona, kiasi kwamba anakupa shauku ya kutaka kumuona na kutaka kujua mwenye hiyo sauti anafananaje wakati huo ushajenga taswira yako kichwani...

Nakumbuka hii ilishanitokea nikiwa kidato cha tano, siku hiyo nikatumwa kwenda darasa la kidato cha sita kumuita mwalimu wa darasa. Nikiwa nje ya darasa (mlango umefungwa) nikawa nasikia sauti tamu ya kijana akielezea kitu ubaoni, kumbe alikuwa ana present looh ile kuingia darasani basi daaahh ...... acha tu.....


Alamsiki japo wengine ndo tumeamka.

Yaani huyo bwana alikuwa anahisi hiyo sauti yako inatokea kwenye papuchi na sio mdomoni
 
Nimegundua kasie ni mpenzi wangu nipeni ushauri wadau kwa mwenendo wake niachane naye au nimsamehe

Achana nae tuu atakupa presha buree, kwanza mzee halafu pasua kichwa. Bora ujikamatie dogodogo humu ujilie kwa raha na gharama zako....😀
 
Kasie ni jikahaba flani tu kupitia mgongo wa ajira...jamani acheni wenye vyeti washike hizo nafasi kuliko kujilimbikizia miajira.
 
Naona unaendelea kumrusha roho

Nop, he knows me deep inside and I know him well... we do not doubt each other.... we give each others pace ...

Happy Daby, Happy Kasie... uwe mpole tu hadi uchaguzi wa Kenya uishe...😉
 
Hheheheheheeee unaona sasaaa....... kumbe wewe ni mtaalam wa vina na mizani na mashairi kwa ujumla eehh... Itabidi nikae karibu na wewe unifundishe... napenda sana hiyo lakini kupangilia hivyo siwezi.... Ila ntajifunza tuu, umenipa nguvu na hamasa ya kujifunza kupangilia vina na mizani.


Heheheheheheeeee jamaniii, nimefanye tena...??


Oooohhh thanks.... you know what..... you have all characters...... just like him, I hope its you... yes you are the one....🙂🙂


Oooh thanks for clarification, shleeep welll....😛
Kasie uwe mahabubu,Haki sitoighiribu
Pendole kama thawabu,Moyoni uwee Tabibu hahaha nitakuwa mwalimu mwadilifu

Ni hayo maudhui ya sentensi zako, zinasimumua nafsi na kupumbaza hisia,unaweza kusahau shida ndogo ndogo


Oh really? I`m at the ready......Your empty of everything except sweetness
 
Nop, he knows me deep inside and I know him well... we do not doubt each other.... we give each others pace ...

Happy Daby, Happy Kasie... uwe mpole tu hadi uchaguzi wa Kenya uishe...😉
Hey mamy, nimekumiss eti
Hhahahahahahahaaa in brackets... (ngoja uchaguzi wa Kenya uishe..) yuko kwenye kamati maalum aka special task. Salamu zimemfikia..

cc: Daby
 
Kasie uwe mahabubu,Haki sitoighiribu
Mahabubu ndo mie hapa na kwako nimejileta...
kama kitumbua ndani ya kikaango..😛

Pendole kama thawabu,Moyoni uwee Tabibu hahaha nitakuwa mwalimu mwadilifu
Mahabat... nawe uwe daktari kutibu maradhi yangu...
Shaka nawe sina, uadilifu ni yako sifa...
Usukano nakupatia uyasongeshe ya Kasie...

Ni hayo maudhui ya sentensi zako, zinasimumua nafsi na kupumbaza hisia,unaweza kusahau shida ndogo ndogo
Hhahahahhaaaa unanihorojesha ujue....

Oh really? I`m at the ready......Your empty of everything except sweetness
Aaaahahahahahaaa Kenii, please allow me to call you that or if it doesn't suit you, I'll go for a whole name.

Then am ready to.... what are you waiting for... lets go...
 
Mahabubu ndo mie hapa na kwako nimejileta...
kama kitumbua ndani ya kikaango..😛


Mahabat... nawe uwe daktari kutibu maradhi yangu...
Shaka nawe sina, uadilifu ni yako sifa...
Usukano nakupatia uyasongeshe ya Kasie...

Hhahahahhaaaa unanihorojesha ujue....


Aaaahahahahahaaa Kenii, please allow me to call you that or if it doesn't suit you, I'll go for a whole name.

Then am ready to.... what are you waiting for... lets go...
Kitumbuacho cha pwani?
Kwetu uzaramoni,
Au kule pangani?
Tanga yetu kunani
Utamu wa Kitumbua huooo

Nilijaribu cha Jeni
Kurudi sikutamani
Sikufanya Kusudi,
Mapishi hayafanani,
Utamu wa kitumbua huo

Chako chanibarizi
Kukila sioni soni,
Ukinipa na mchuzi
Nakulamba kama koni
Utamu wa kitumbua huo

Mapishio si hirizi,
Ufundi wa Jikoni
Moyoni nimekuridhi
Nakuonga hata mboni
Utamu wa kitambua cha Kasie

A woman only lived in our imagination,is walking down JF.......What a Wonder, I know of no way that i can tell you adequately how much i enjoy this. You're too funny to handle Kasie
 
Back
Top Bottom