Saudi Arabia sends war planes into Yemen in a terrifying clash with Iran

Saudi Arabia sends war planes into Yemen in a terrifying clash with Iran

KILA MWISLAM ANAJIONA YUKO SAHIHI NA NI MTETEZI/MWAKILISHI/MRATIBU WA ALLAH kuliko mwislam mwingine yeyote na hii ndio sababu ya machafuko

Realy Mh!!Mbona jibu lako jepesi hivyo dadaangu, Unawajua SHia na Sunni weye? Ngoja ni waalike wataalamu hapo chini

Haaaaa Ligi ya Seria A inaanzia huku....
I actually find it hard to know which is True Izlame and which iz imposter..:tape2:
cc kahtaan, Gavana, FaizaFoxy. Adiosamigo, billy Cosby, Elungata
 
Last edited by a moderator:
Wacha uongo kwenye jikichwa lako la habari, hakuna Shia wa Iran aliyepigwa. Vita inapiganwa Yemen.

Kichwa cha habari kingine. Utumbo wa habari mwingine.

Hivi mnapata faida ipi mkiandika uongo?
 
Ngoja waje wazee wa kila kitu Marekani
 
KILA MWISLAM ANAJIONA YUKO SAHIHI NA NI MTETEZI/MWAKILISHI/MRATIBU WA ALLAH kuliko mwislam mwingine yeyote na hii ndio sababu ya machafuko

kanye huko msituni hata choo huna .pumbafff
kwani SADCC walipotuma jeshi DRC ilikuwa nini ?
JWTZ si ilikuwa DRC juzi?
ujinga mtupu nyie watu mupo kama vikaragosi mnafikiri kwa mitakoo
 
Wacha uongo kwenye jikichwa lako la habari, hakuna Shia wa Iran aliyepigwa. Vita inapiganwa Yemen.

Kichwa cha habari kingine. Utumbo wa habari mwingine.

Hivi mnapata faida ipi mkiandika uongo?

Saudi a imewasapoti wasunni dhidi ya kundi la kigaidi la hauthi linalosapotiwa na Iran. Upo hapo. Hili ni pigo kwa Iran.
 
Baada ya marekani ya washirika wake kwa uwongo wao kuaminisha kuwa saddam alikuwa tishio middle east sasa uwongo wote uko wazi,
Middle East ya saddam na hii ya sasa ipi imekuwa hatari?
Sasa umuhimu wa saddam middle east unaonekana wazi ndio mtu pekee alieweza kuzituliza Israel na Iran kufanya yao, Sasa paka kaondoka panya wanavuruga kila kitu hapo middle east, Iran kishaota mapembe, Israel nae hivyo hivyo, we miss you Saddam
 
Sijui shutuma za marekani zimetokana na nini hapa... Mbona MNA majibu mepesi kwenye maswali magumu..?
Hivi ISIS walikuwepo wakati USA iko pale kweli?
Kinachofahamika ni kuwa ISIS ni kundi lililoundwa na saudia, Yemen, Qatar leny lengo la kuwafurusha washia nchini Iraq na kule IRAn. Kundi hili lilibadili malengo baadaye.. Na haya yote yametokea baada ya kuondoa jeshi la marekani na kubakiza jeshi dhahifu la iraki. Saudia na nchi zote za sunni ole arabuni zinahusika kuunda ISIS.
Hata ayatollah wa Iran alilazimika kuomba huruma ya wasunni ili wawe wamoja. Hali akitambua kuwa wasunni wanawachukulia Shiha kama makafiri wengineo tu.
Hoja kuwa sadam alikuwa anafaa Iraq haina mashiko Kwani yeye ni msunni na aliwanyanyasa washia na wakurdi ile mbaya tu.
 
Mjaluo, kalemewa hapo mashariki ya kati. Mambo ni magumu saana kwa sasa
 
Yeah mjaluo ndio peke yake anaonyesha nia ya kutaka ku-surrender.
 
Kwa nini hatusikii maandamano ya kidini kupinga haya mauaji ya Waislam yanayofanywa na Saudi Arabia? koh koh koh

Cc FaizaFoxy
 
Sure u.s has proved its high intelligenc!!! behind the scene is war between shia and sunni no dought this is the way to iran!! u.S wanaikoroga sana midle east ili waifikie iran!!! hata ISIs ni mpango mkakati!!! wagawe uwatawale inarahisishwa kazi kwa israel
 
Hizi zitabaki kuwa conspiracy. Kwani hata ho waarabu ni biggest plotter ili kueneza utamaduni wao nje na ndani ya arabuni.

May be waarabu Wana weakness kubwa linapofika swala la Dini yao. Wana shindwa ku-focus, na kutazama Ustawi katika namna chanya. Na pengine sio kushindwa Bali ni deliberately kabisa kukataa kutazama namna ya ku-deal na issue zao in a peaceful way.
Na wao wamekuwa wakijiona kuwa hiyo ndio strength yao inayowafanya kuwa bora na wasichezewe, Which in turns ndil INAyopelekea wao kilaangwa kwa mafuta yao wenyewe kama samaki. bila wao kujistukia. Kuna uzi uko hapa wa " mwanamke kichaa" aliyechana Koran. Ili kuonyesha hawachezewi walimuua yule kichaa. So kama unataka wajeruiane. Ni rahisi tu. Becausr they are aggressive, Unaandaa tukio kisha unawapa taarifa wanaamka na kuchapana.
Wakati mwingine sio lazima usomee upelelezi. Ni swala la Ku deal na culture husika kWa namna wanavyokabiliana na majanga. Ukiona wamekaa kimorani morani basi unawapelekea ng'ombe na mkuki...ukiona wamekaa kimapenzi unawapa wanawake makahaba. Ukiona wanapenda mziki unawapa gitaa, kinanda...
 
kanye huko msituni hata choo huna .pumbafff
kwani SADCC walipotuma jeshi DRC ilikuwa nini ?
JWTZ si ilikuwa DRC juzi?
ujinga mtupu nyie watu mupo kama vikaragosi mnafikiri kwa mitakoo

NA TATIZO SIO IRAN NA SAUDIA TU
hata hapa tz kama si uwepo wa wakristo wanabalansi mivutano kati ya BAKWATA na taasissi za kiislam i.e sheik ponda wafuasi vita ingeshalipuka

bila wakristo tanzania waislam wa ponda na bin SIMBA wangeshachinjana

hapo mwislam wewe unajiona uko sahihi na ni mratibu wa allah kuliko mwislam kikwete.
ndio maana mwislam yule alimpiga kibao mwinyi alhaji, rais mstaafu kwa kuwa alijiona mwinyi hamfai allah

taitzo kila mwislam ni bora kuliko mwislam mwenzie

NAKUBALIANA NA WEWE VITA KONGO: vita vyao ni kuhusu udhibiti wa maliasili na sii kutafuta kumsimamisha/kuleta uwepo/ kumratibia kumwakilisha allah
 
Kwa nini hatusikii maandamano ya kidini kupinga haya mauaji ya Waislam yanayofanywa na Saudi Arabia? koh koh koh

Cc FaizaFoxy
kwa sasa wamechanganyikiwa hawajui washike wapi???
wafuasi wa ISIS wamepambana na wafuasi wa ALQAEDA syria sasa hapo kila mmoja anajiona ni zaidi bora na anayeelewa nini allah anataka zaidi ya mwenzie
 
Back
Top Bottom