Ndio nikasema Wewe elimu huna na habari zote hizi mwalimu wako ni TV.
Huna elimu yyt yenye mashiko hata kidogo.
Unafahamu kinachotokea Northern Ireland baina ya protestants and Catholics. Unafahamu kikundi cha KIKRISTO cha ugaidi cha ATTA kimeua Wakristo wenzao kwa idadi gani? Unafahamu magaidi wa KIKRISTO waitwao The armour of Jesus Wamechinja Wakristo Kiasi gani?
Wewe huna tofauti Na Bendera.
Wanachokionyesha Makafiri Kwenye Tv Unabeba Mazima Na Kutuletea hapa.
Someni wakristom acheni ushabiki wa Kipumbavu Huenda Mkapata faida siku za mbele.
nafaham sana, tatizo la UK halikuwa dini bali tamaa ya England kuzikalia nchi zingine kimabavu zikitumia mgongo wa dini
nothern ireland na hata scotland wales zote zilitamaniwa na england
pia huo upuuzi ulikoma na kwa sas ndio unaanza arabuni
hongereni endeleen kujiona bora kuliko waislam wenzenu