Saudi Arabia sends war planes into Yemen in a terrifying clash with Iran

that is american retired soldier speaking not me

he seems frustrated as result of his own personal failures now he blames everybody and everything seems quiet normal to me for a dude in his state of mind.
 
NA TATIZO SIO IRAN NA SAUDIA TU
hata hapa tz kama si uwepo wa wakristo wanabalansi mivutano kati ya BAKWATA na taasissi za kiislam i.e sheik ponda wafuasi vita ingeshalipuka

bila wakristo tanzania waislam wa ponda na bin SIMBA wangeshachinjana

hapo mwislam wewe unajiona uko sahihi na ni mratibu wa allah kuliko mwislam kikwete.
ndio maana mwislam yule alimpiga kibao mwinyi alhaji, rais mstaafu kwa kuwa alijiona mwinyi hamfai allah

taitzo kila mwislam ni bora kuliko mwislam mwenzie

NAKUBALIANA NA WEWE VITA KONGO: vita vyao ni kuhusu udhibiti wa maliasili na sii kutafuta kumsimamisha/kuleta uwepo/ kumratibia kumwakilisha allah

ama kweli nyani haoni kundule ... hapa nani wana chinjana kila siku hapa hapa Tanzania ni Ponda ? ni Bakwata ? ni wakristo wa mara na mbeya na shinyanga kila siku kuua vizee na huko mara wakristo kila siku panga mtu unasema nini wewe ?
maeneo yalo salama hapa Tanzania na ustaarab ni ya pwani na yale yenye waislam wengi..nyie nyie kwa nyie mtakata mikono maalbino .
 
crabat
Who punguza kajazba kidogo...
Hatukatai dini zote zina changamoto.
But kwenye uislamu hali ni more significant kuliko hizo hoja za sijui kuwaua wazee. N.k.
Kwanza hapa Tanzania mikoa na maeneo mengi yenye kusifika kwa imani za ushirikina imekaliwa zaidi na Muslims.
But siko hapa ku-judge hilo.
Waganga wa kienyeji nchini.. Ni wazi watakuwa Muslims zaidi.

Wapiga falaki na elimu za nyota n.k.
Tena hawafanyi haya mambo gizani.
Na ukimuuliza mwislamu yoyote. Utasikia anasema wale sio waislamu halisi.

But Wana majina na vyeo hadi vya ushekhe na wanamiliki misikiti n.k.

Which implies kuwa the "hole" I "dear" of what iz true Islam depends very much on the "powerfool" group than the Koran itself. Cause Koran wrote everything; Once the powerfool group destroyed then the hole i "dear" perish.

Na hapa utakuja ona Kila mwislamu anajua Koran kuliko mwingine. Na tafsir yake.
Ukimbishia anachukua hatua za kupigana, kupigania dini ya M/Mungu.

Shida tunayojadili hapa sio huo ujuaji Bali namna ya wao kukabiliana na mtazamo tofauti.
Na ndio maana utakuja kuona karibu world wide Muslims wanafanana na namna wanavyofikiri.
Kwani mwisho wa siku wote wanataka vita, mapigano, ili watatue tofauti.
Kwani Wana amini kabisa wao hawatakiwi kuchezewa. Kwakuwa dini yao ni Superior..
Na ndicho Marytina amekuwa akikigusia kwa namna tofauti.

Koran wenyewe imekiri kuwa wakristo wakijua haki hawaachi kuifuata.
Sisi hatuamini ukristo unalindwa na mwanadamu. That is why hatuutumii literally kujihami na tofauti tunazokumbana nazo. Pia the whole idea of fighting human to protect God is ungodly by itself.
Vita yetu si juu ya damu na nyama. It does not make sense kusema unamuua mwanadamu mwenzako ili kumlinda Mungu usiyemuona.

Nina uhakika Muslims wanapata wakati mgumu kujadili bifu kati ya Iran na Saudi kingdom. Na wakifanya hivyo watachinjana punde si punde. Hapa nchini tunajua kuna misikiti imetekwa nch yote. wanacheza karate za kichina.

Pia kutokana na u-superiority wa hizi giant Islamic countries. Kinachoendelea mpaka sasa in armistice tu. iko siku wata chapana. kwani Kila upande unaona mwenzake ni Kufar tu.

So kwenye Koran, sisi kristians tumeitwa wacha Mungu

Na kuna dhehebu lingine la ahmadiya. Ambalo mkakati wa kuliangamiza worldwide ni certan.

ISIS walijaribu kueneza what they so called true Islam. Wamepigwa. Sasa ni ngumu kujua Allah anamkubali nani.Kati ya mshinda na mshindwa? KWani bendera nyeusi ya Allah ndo hivyo tena inaishia ishia kwa sasa.
 
Unajua, Allah anaumwa macho, hivyo haoni. Ndio maana anashindwa kuwasaidia wafuasi wake. Tusubiri apone ugonjwa wa macho. Huu ni Msiba kwa hawa Makafir akina kahtaan na kafir Ally Kombo.
ALLAH ALIUGUA MACHO:

"Wakati mmoja macho ya Allah yalikuwa yanauma, na Malaika walikwenda kumuona, na kwamba Allah alitokwa na Machozi, kwa ajili ya Mafuriko ya Nabii Nuhu mpaka macho yake yakawa mekundu. (Al Milal Wannihal J. 1 uk. 141)

Yesu Msalabani.jpgNjia ya Msalaba.jpgNjia ya Msalaba.jpg

'Mungu Yesu anapata kipondo cha nguvu hapo na watu wake aliyewaumba mwenyewe !' :A S 20:
........kabla hujaingia Kanisani lazima unywe viroba, maana utashikwa na uchungu sana kwa mambo haya !:lol:
Ishmael
 
Last edited by a moderator:
unajua kwa wanawake kuna kitu kinaitwa dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzie kwa maana sisi wanawake tulivyo ni bora maradufu nchi au idara ikaongozwa na mwanaume kuliko mwanamkee kwan mwanamkee atatunyanyasa sana wanawake wenzie.

na kwa waislam ni hivyo hivyo, dawa ya mwislam sana ni mwislam sana mwenzie
i.e dawa ya alqaeda ni ISIS.......
WANAMLAUM rais kikwete kutokuwa na msimamo kwenye mahakama ya kadhi kiasi kwamba wanaanza kudai alibadili dini alipokuwa anasoma elimu ya msingi

UNAMKUMBUKA MAKAMBA akiwa mkuu wa mkoa aliwafanyaje waisla wa mwembe chai
??????
whoa umenikumbsha aisee. nakumbuka hizi bunduki za ak 47 waliziita "mwembe chai" enzi hizo..
 
what city?,crusade first aim was to take jerusalem,which didnt belong tp them
kasome vizuri: sababu kwanini ni jerusalem...The first of the Crusades began in 1095, when armies of Christians from Western Europe responded to Pope Urban II’s plea to go to war against Muslim forces in the Holy Land. Pope Urban II proclaimed the First Crusade with the stated goal of restoring Christian access to holy places in and near Jerusalem.
 
unajua kwa wanawake kuna kitu kinaitwa dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzie kwa maana sisi wanawake tulivyo ni bora maradufu nchi au idara ikaongozwa na mwanaume kuliko mwanamkee kwan mwanamkee atatunyanyasa sana wanawake wenzie.

na kwa waislam ni hivyo hivyo, dawa ya mwislam sana ni mwislam sana mwenzie
i.e dawa ya alqaeda ni ISIS.......
WANAMLAUM rais kikwete kutokuwa na msimamo kwenye mahakama ya kadhi kiasi kwamba wanaanza kudai alibadili dini alipokuwa anasoma elimu ya msingi

UNAMKUMBUKA MAKAMBA akiwa mkuu wa mkoa aliwafanyaje waisla wa mwembe chai ??????

Makamba ni mnafiki km wewe tu.
Ukafiri umewaathiri sana nyie kiasi kwamba hamuoni ya kwenu mnashughulika na yasio wahusu.

Vipi kwanza lile suala la Mkuyyat lile dume lako la mbegu litahitaji? Manake mwanamke km wewe usiposhughulikiwa na mwandani wako pia inaleta shida.

Ya waislamu hayawahusu. Mapadri wanalawiti watoto wadogo kila siku. Tatueni hilo tatizo kwanza kabla ya kujadili ya kwetu. Watoto wenu wanaumizwa na hio imanj yenu.
Hamna macho nyie?

View attachment 239744

attachment.php
 
Kumbe huwa unafuatilia magazeti ya udaku..
 
crabat
Who punguza kajazba kidogo...
Hatukatai dini zote zina changamoto.
But kwenye uislamu hali ni more significant kuliko hizo hoja za sijui kuwaua wazee. N.k.
Kwanza hapa Tanzania mikoa na maeneo mengi yenye kusifika kwa imani za ushirikina imekaliwa zaidi na Muslims.
But siko hapa ku-judge hilo.
Waganga wa kienyeji nchini.. Ni wazi watakuwa Muslims zaidi.

Wapiga falaki na elimu za nyota n.k.
Tena hawafanyi haya mambo gizani.
Na ukimuuliza mwislamu yoyote. Utasikia anasema wale sio waislamu halisi.

But Wana majina na vyeo hadi vya ushekhe na wanamiliki misikiti n.k.

Which implies kuwa the "hole" I "dear" of what iz true Islam depends very much on the "powerfool" group than the Koran itself. Cause Koran wrote everything; Once the powerfool group destroyed then the hole i "dear" perish.

Na hapa utakuja ona Kila mwislamu anajua Koran kuliko mwingine. Na tafsir yake.
Ukimbishia anachukua hatua za kupigana, kupigania dini ya M/Mungu.

Shida tunayojadili hapa sio huo ujuaji Bali namna ya wao kukabiliana na mtazamo tofauti.
Na ndio maana utakuja kuona karibu world wide Muslims wanafanana na namna wanavyofikiri.
Kwani mwisho wa siku wote wanataka vita, mapigano, ili watatue tofauti.
Kwani Wana amini kabisa wao hawatakiwi kuchezewa. Kwakuwa dini yao ni Superior..
Na ndicho
Marytina amekuwa akikigusia kwa namna tofauti.

Koran wenyewe imekiri kuwa wakristo wakijua haki hawaachi kuifuata.
Sisi hatuamini ukristo unalindwa na mwanadamu. That is why hatuutumii literally kujihami na tofauti tunazokumbana nazo. Pia the whole idea of fighting human to protect God is ungodly by itself.

Vita yetu si juu ya damu na nyama. It does not make sense kusema unamuua mwanadamu mwenzako ili kumlinda Mungu usiyemuona.

Nina uhakika Muslims wanapata wakati mgumu kujadili bifu kati ya Iran na Saudi kingdom. Na wakifanya hivyo watachinjana punde si punde. Hapa nchini tunajua kuna misikiti imetekwa nch yote. wanacheza karate za kichina.

Pia kutokana na u-superiority wa hizi giant Islamic countries. Kinachoendelea mpaka sasa in armistice tu. iko siku wata chapana. kwani Kila upande unaona mwenzake ni Kufar tu.

So kwenye Koran, sisi kristians tumeitwa wacha Mungu

Na kuna dhehebu lingine la ahmadiya. Ambalo mkakati wa kuliangamiza worldwide ni certan.

ISIS walijaribu kueneza what they so called true Islam. Wamepigwa. Sasa ni ngumu kujua Allah anamkubali nani.Kati ya mshinda na mshindwa? KWani bendera nyeusi ya Allah ndo hivyo tena inaishia ishia kwa sasa.
hapo red umenikosha sana, umenielewa hasa nachomaanisha

nataka kuwakumbusha hawa ndugu zetu kuwa ni kweli shinyanga, kongo, rwanda wameuwana na wanauwana tena sana ILA HAWAUWANI KISA KUMTETEA ALLAH.

MAREKAN ALIKWENDA VITAN IRAQ NA AFGHANISTAN na kusababisha mauwaji....MAREKAN HAKWENDA KWA SABABU ALLAH WA KIKRISTO anadhihakiwa.

WAKATI wa ukoloni WAJERUMAN WAINGEREZA wameuwa babu zetu tena sana-ILA SI KWA SABAU ALLAH WA KIKRISTO alidhihakiwa

hapahapa bongo polisi wanauwa ila si kwa sababu allah amedhihakiwa

wiki kama tano zimepita manzese aliuwawa mtu kwa kuchomwa moto ila si kwa sabubu allah amedhihakiwa.

HIYO HAKI YA MSUNNI kuua MSHIA inatoka wapi???
haki ya mpalestina kufungiwa mipaka na misri???
jana tu kambi ya wapalestina SYRIA imevamiwa na watu kuuwawa

..WAENDELLEE KUJIONA waratibu wa allah
 
Back
Top Bottom