Saudi Arabia kuona Hamas wanashinda ndio wanajitokeza kutetea "two state solution"

Kwa hadhi yake mbele ya Palestina Hakukutakiwa tamko.Kilichotakiwa ni vitendo kama vya Houth
Iran mwenyewe hajafanya Kama houthi japo ni proxy yake,huwezi ingiza nchi vitani wakati unasaka maendeleo ya kiuchumi na kijamii,ni heri utumie proxy au msaada mwingine,nadhani hakuna nchi inayotoa hela nyingi kwenda Palestine kuzidi saudia
 
Msome Mfalme Faisal aliwaadhibu Marekani kwa njia ipi nyakati za mgogoro kama huu!

Nikusaidie, aliwaadhibu kwa kuwawekea vikwazo, kutoruhusu mafuta kwenda kwao.
Nimeshasoma hilo mda sana ,sio ila Jambo lililowezekana wakati fulani basi linawezekana kwa wakati mwengine.. halafu majambo yanapimwa kwa athari zake Vilevile..
 
Msaudi ni kama mbwa tu wa Marekani.
Marekani akimwambia bweka anabweka, Mmarekani akimwambia funga bakuli lako basi anaufyata na mkia anauficha matakoni.
 
Kwa muda mrefu nchi ya Saudi Arabia imekuwa kimya tangu pale vita vianze rasmi kati ya Hamas na jeshi kubwa la Israel.

Takriban mwezi tangu vita vianze waliitisha mkutano wa mataifa kadhaa ya kiarabu na kiislamu uliofanyika mjini Riyadh.Katika mkutano huo hakuna chochote cha maana kilichojadiliwa wala azimio la maana lilliofikiwa.Kikubwa kilichotokana na mkutano huo ni kutoa wajumbe waliokwenda China kuishtaki Israel kwa nchi hiyo.

Kwa ujumla ujumbe ule ulipuuzwa sana na China na hata watu walioupokea walikuwa ni maafisa wa ngazi za chini katika wizara ya mambo ya nje.

Baada ya kashfa ile Saudi Arabia imekuwa kimya sana tena katikati ya mauji mabaya yaliyousthtua ulimwengu mzima.Ilikuwa kama kwamba walikuwa wamekubali Israel iwamalize Hamas na kuua kiasi inachotaka cha wapalestina ili hatimae mpango wake wa kurudisha uhusiano na taifa hilo haramu ufanikiwe.

Miezi mitatu mbele na wakati Hamas wamesimama wenyewe kujitetea kwa mafanikio ndipo Saudi Arabia imesikika ikisema eti hawatarejesha uhusiano na Israel mpaka hapo mpango wa kuwepo kwa taifa la Palestina sambajmba na Israel utakapowekwa wazi.

Saudi Arabia 'rules out' normalisation with Israel without state for Palestinians
Hao vibaraka wa 🌈 ni washenzi sana.Hongera Iran
 
Ila kaka itakua habari kuhusu Saudi Arabia ilikupita.
Siku Alshifah hospital inalipuliwa King Abdullah wa Jordan na Crown Prince wa Saudia walitoa reaction kwa wakati mmoja.
Jordan ilifunga balozi ya Israel na kufuta uhusiano nao mazima na Saudia ilisitisha mpango wa kuitambua Israel middle east na walisema wazi kuanzia sasa Saudia haiitambui Israel kama ni taifa middle east.
Hii habari kaka itakua ilikuponyoka.
 
Nimeshasoma hilo mda sana ,sio ila Jambo lililowezekana wakati fulani basi linawezekana kwa wakati mwengine.. halafu majambo yanapimwa kwa athari zake Vilevile..
Brother, unatetea kitu ambacho kinawezekana kufanyika.

Ghaddaf moja ya interview zake alisema waarabu wana nguvu ya kiuchumi ambayo ni mafuta. Isipokuwa falme za kiarabu zimesaini mikataba ya kulindwa kwa falme zao hivyo hawana namna. Hata Trump kipindi cha urais wake alilizungumzia hili.

Kwa misingi hiyo hakuna namna! Falme za kiarabu zitafanya yale ambayo mabwana zao watakao yaridhia.

Sababu nyengine unazozitoa hazina mantiki.
 
Saudia haiitambui Israel kama ni taifa middle east.
Hii habari kaka itakua ilikuponyoka.
Naomba uniangaze nina swali katika hili!

Kama Saudia haiitambui Israel kama taifa hapo middle east vipi ilipikwa ama walieendea sera ya kuanzisha mahusiano mema na nchi ya Israel?
 
Kwa muda mrefu nchi ya Saudi Arabia imekuwa kimya tangu pale vita vianze rasmi kati ya Hamas na jeshi kubwa la Israel.

Takriban mwezi tangu vita vianze waliitisha mkutano wa mataifa kadhaa ya kiarabu na kiislamu uliofanyika mjini Riyadh.Katika mkutano huo hakuna chochote cha maana kilichojadiliwa wala azimio la maana lilliofikiwa.Kikubwa kilichotokana na mkutano huo ni kutoa wajumbe waliokwenda China kuishtaki Israel kwa nchi hiyo.

Kwa ujumla ujumbe ule ulipuuzwa sana na China na hata watu walioupokea walikuwa ni maafisa wa ngazi za chini katika wizara ya mambo ya nje.

Baada ya kashfa ile Saudi Arabia imekuwa kimya sana tena katikati ya mauji mabaya yaliyousthtua ulimwengu mzima.Ilikuwa kama kwamba walikuwa wamekubali Israel iwamalize Hamas na kuua kiasi inachotaka cha wapalestina ili hatimae mpango wake wa kurudisha uhusiano na taifa hilo haramu ufanikiwe.

Miezi mitatu mbele na wakati Hamas wamesimama wenyewe kujitetea kwa mafanikio ndipo Saudi Arabia imesikika ikisema eti hawatarejesha uhusiano na Israel mpaka hapo mpango wa kuwepo kwa taifa la Palestina sambajmba na Israel utakapowekwa wazi.

Saudi Arabia 'rules out' normalisation with Israel without state for Palestinians
Hamas wanashinda???😳😳😳
Most of Gaza imeteketezwa; 25k Palestinians dead na Israel 1400 90% kw ile attack. Hamas wameshinda nn labda if i may ask?😝
 
Attachments

  • Screenshot_20240124_190630_Chrome.jpg
    Screenshot_20240124_190630_Chrome.jpg
    60.8 KB · Views: 2
Kwa muda mrefu nchi ya Saudi Arabia imekuwa kimya tangu pale vita vianze rasmi kati ya Hamas na jeshi kubwa la Israel.

Takriban mwezi tangu vita vianze waliitisha mkutano wa mataifa kadhaa ya kiarabu na kiislamu uliofanyika mjini Riyadh.Katika mkutano huo hakuna chochote cha maana kilichojadiliwa wala azimio la maana lilliofikiwa.Kikubwa kilichotokana na mkutano huo ni kutoa wajumbe waliokwenda China kuishtaki Israel kwa nchi hiyo.

Kwa ujumla ujumbe ule ulipuuzwa sana na China na hata watu walioupokea walikuwa ni maafisa wa ngazi za chini katika wizara ya mambo ya nje.

Baada ya kashfa ile Saudi Arabia imekuwa kimya sana tena katikati ya mauji mabaya yaliyousthtua ulimwengu mzima.Ilikuwa kama kwamba walikuwa wamekubali Israel iwamalize Hamas na kuua kiasi inachotaka cha wapalestina ili hatimae mpango wake wa kurudisha uhusiano na taifa hilo haramu ufanikiwe.

Miezi mitatu mbele na wakati Hamas wamesimama wenyewe kujitetea kwa mafanikio ndipo Saudi Arabia imesikika ikisema eti hawatarejesha uhusiano na Israel mpaka hapo mpango wa kuwepo kwa taifa la Palestina sambajmba na Israel utakapowekwa wazi.

Saudi Arabia 'rules out' normalisation with Israel without state for Palestinians
Kuna vitetesi tetesi Marekani anataka Kuigawa Hio Nchi kuwe na Israel na Palestina Chini ya Saudia, ndio maana wanatoka toka.
 
dunia ilivyo sasa watu wapo very trick mzee,naamini saudi hawakuwa kimya for nothing mzee,
pengine nyuma ya panzia walijua Hamas wanashinda hii vita kabla mtu yoyote kujua sasa ndo wameanza kucheza part muhimu mbele ya hadhira...km israel wanaona kuna faida kudumisha urafiki na saudia unadhani watafanya nini!!!
 
Mkuu fahamu Saudia ni kama koloni la Marekani! Hakuna cho chote ambacho Saudia inaweza kuamua bila US kukubali!
Sasa US nao wanaanza kuishauri Israel ikubaliane na Two state solution! Kwa hiyo si ajabu Saudi kuanza kujitutumua na kutoa kauri hizo!
Saudi ni selfish tu, kwenye Hela mbona Wana Disagree na Marekani? Issue ya Urusi mbona wananunua Mafuta ya Urusi na Kuuza Ulaya? Mbona wanajiunga Brics? Mbona Wana trade na China?

Hapo ni kwamba Palestina hakuna hela Wala Maslahi ya maana, Sasa hivi USA anataka ampe Nchi basi hao wanajitokeza.
 
dunia ilivyo sasa watu wapo very trick mzee,naamini saudi hawakuwa kimya for nothing mzee,
pengine nyuma ya panzia walijua Hamas wanashinda hii vita kabla mtu yoyote kujua sasa ndo wameanza kucheza part muhimu mbele ya hadhira...km israel wanaona kuna faida kudumisha urafiki na saudia unadhani watafanya nini!!!
Hamas hawezi kushinda vita jamani. Labda kujipa tu moyo . Gaza imeharibiwa kwa kiasi kikubwa.
 
Kwa muda mrefu nchi ya Saudi Arabia imekuwa kimya tangu pale vita vianze rasmi kati ya Hamas na jeshi kubwa la Israel.

Takriban mwezi tangu vita vianze waliitisha mkutano wa mataifa kadhaa ya kiarabu na kiislamu uliofanyika mjini Riyadh.Katika mkutano huo hakuna chochote cha maana kilichojadiliwa wala azimio la maana lilliofikiwa.Kikubwa kilichotokana na mkutano huo ni kutoa wajumbe waliokwenda China kuishtaki Israel kwa nchi hiyo.

Kwa ujumla ujumbe ule ulipuuzwa sana na China na hata watu walioupokea walikuwa ni maafisa wa ngazi za chini katika wizara ya mambo ya nje.

Baada ya kashfa ile Saudi Arabia imekuwa kimya sana tena katikati ya mauji mabaya yaliyousthtua ulimwengu mzima.Ilikuwa kama kwamba walikuwa wamekubali Israel iwamalize Hamas na kuua kiasi inachotaka cha wapalestina ili hatimae mpango wake wa kurudisha uhusiano na taifa hilo haramu ufanikiwe.

Miezi mitatu mbele na wakati Hamas wamesimama wenyewe kujitetea kwa mafanikio ndipo Saudi Arabia imesikika ikisema eti hawatarejesha uhusiano na Israel mpaka hapo mpango wa kuwepo kwa taifa la Palestina sambajmba na Israel utakapowekwa wazi.

Saudi Arabia 'rules out' normalisation with Israel without state for Palestinians
Mani alikwambia HAMAS wanataka Two States?
Wengi mmelidandia swala kishabiki sana. Israel siku zote imekua ikidimama ma ywo states solution, na ndiyo maana huwa wanakaa ma Mamlaka ya Palestina na kujadiliana, ni kwa sababu hiyo ndiyo maana iliomdoka Gaza na kuwaachia mamlaka ya Palestina kabla ya ule uchaguzi ulio waingiza HAMAS madarakani.

HAMAS, HEZBOLLAH kwa ushauri wa Iran, wao wapo against two states solution, wao wanataka kufutwa kwa Israel basi.
 
Naomba uniangaze nina swali katika hili!

Kama Saudia haiitambui Israel kama taifa hapo middle east vipi ilipikwa ama walieendea sera ya kuanzisha mahusiano mema na nchi ya Israel?
Mkuu umetumia misamiati migumu kidogo sijakupata?
 
Back
Top Bottom