Sasha Obama

Sasha Obama

misnomer

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
203
Reaction score
69
Sasha.jpg
Anachochungulia Sasha wataalam wa kusoma picha mtatumwagia wino
 
anakagua hotuba ya baba kwa mara ya mwisho kwa sababu iliandaliwa kwa pamoja na familia.
 
wamependeza hadi raha ila angekuwa mbongo hapo loh.........hapo anaangalia anachosoma baba yake.
 
Jamani minona hawa watoto hawafanani (phenotype) kabisa.

Embu mwangalie huyo mkubwa nyusi, macho, mashavu na mdomo (kaeneo hako) in relation to Obama kama wanafanana vile (si unajua kufananisha baba na mtoto wa kike kama ukiangalia kwa jicho tenge inakuwa ngumu ku-compare na ku-contrast)
 
hapo obama alichezeshewa kekundu keusi...chezea michelle wewe?.....
 
Niliwahi kusoma jarida moja na lilikuwa likimuelezea huyu binti kama mmoja wa wasichana wenye Leadership Skills za hali ya juu na kuna uwezekano mkubwa akaja kurithi nyayo za baba yake katika Siasa.Ukimtizama vizuri hata jinsi alivosomama amefuata protokali kwa kufunga mikono yake kwa adabu na yuko makini tofauti na dada yake.Kuhusu suala la sura,huyu binti anaonekana kwenda zaidi kwa mama yake japo hawjafanana kabisa tofauti na dada yake ambaye kafanana zaidi na baba yake...
 
Back
Top Bottom