that's my sweet Mange. Dada wa Taifa, national treasure, masters Holder, the notorious ass's kicker, potential Times person of the year and notably the potential Nobel Peace award contender.View attachment 691918
Hiki alichokifanya kww yule kiongozi wa dini kitakumbukwa kwa muda mrefu sana, japo yeye kazi yake kubwa ilikuwa ni kurusha tu hewani taarifa anazopokea toka kwa followers wake...
Nimeshangazwa mno na kitendo cha ccm kukaa kimya kabisa bila kujaribu hata kumtetea mhanga japo kwa maneno ya faraja
Inawezekana kwa sasa Mambe Kimangi ndiye whistle blower anayeogopeka na maarufu zaidi Tanzania... Na kuna baadhi ya viongozi wanaanza kumkubali habari zake kiaina... She has guts
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ameshaset standards waache wanawake wagombane ukiingilia utaaibika. Hivi mtu akikusingizia wewe shoga unajiteteaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikiwaza hivyo tu maneno na mademu sipendi kabisa
Hahahah!Wanachonifurahisha ni pale wanapojifanya hawamfuatilii kumbe macho kodo muda wote!