dega
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 3,138
- 3,042
Hatimae Rais wa Zanzibar amepitimiza ahadi yake aliyotoa HIVI karibu wakati WA hafla ya kuukaribisha mwaka mpya wa Kiislam HIJRIYYA Kwamba Serikali imo katika mchakato wakuifany Siku ya Mwaka mpya wa Kiislam kuwa siku ya mapumziko Sawa na mwaka mpya wa Miladiya
Akitangaza Leo tarehe 5/8 katika Msikiti Quba uliopo Kwa Boko mjini hapa ametangaza Rasimi kwamba Serikali imeridhia kuifanya siku hiyo kuwa na ya Mapumziko kama ulivyo Ile ya Miladia ambapo siku ya tarehe mosi ya kila mwaka NI Mapumziko
Hivyo Rasmin kila tareha 1 MUHARRAM ya kila mwaka itakua ni siku ya Mapumziko
HONGERA DR MWINYI
HONGERA OFISI YA MUFTI
HONGERA WAZANZIBARI