Sasa Siku ya Mwaka mpya wa Kiislam ni Siku ya mapumziko rasmi Zanzibar

Wenzake waliheshimu katiba.sasa hivi ni malufuku kumpa mtu urais kama hajasoma first degree nchini.
 
Mambo ya kijinga kabisa haya. Badala waongeze siku za kufanya kazi wanazipunguza. Hata kwa madawa na chakula tu hawajitoshelezi halafu bado wanataka wale bata.

Baba yake alikuja na mtindo wa kulipia sherehe iwapo itaangukia weekend!

Hawa watu wanaingia madarakani kwa kufanya ukatali na mauji, kisha wanawafumba wananchi macho kwa kujifanya ni wacha Mungu kwa kutoa incentives kwa mambo ya kijinga.
 
Hata tusidanganyike Zanzibar wakijitoa na ndio wataendea zaidi kiuchumi. kutokana na kuwa na population ndogo na nchi zote za kiarabu ziko tayari kuwekeza lakini kuna zengwe la ukatoliki kutoka bara
Sijui kwanini tunawang’ang’ania na upuuzi wa kizamani wa eti usalama wa taifa
 
Hatimae Rais wa Zanzibar amepitimiza ahadi yake aliyotoa HIVI karibu wakati WA hafla ya kuukaribisha mwaka mpya wa Kiislam HIJRIYYA Kwamba Serikali imo katika mchakato wakuifany Siku ya Mwaka mpya wa Kiislam kuwa siku ya mapumziko Sawa na mwaka mpya wa Miladiya

Akitangaza Leo tarehe 5/8 katika Msikiti Quba uliopo Kwa Boko mjini hapa ametangaza Rasimi kwamba Serikali imeridhia kuifanya siku hiyo kuwa na ya Mapumziko kama ulivyo Ile ya Miladia ambapo siku ya tarehe mosi ya kila mwaka NI Mapumziko

Hivyo Rasmin kila tareha 1 MUHARRAM ya kila mwaka itakua ni siku ya Mapumziko

HONGERA DR MWINYI
HONGERA OFISI YA MUFTI
HONGERA WAZANZIBARI
Tatizo ni kuwa hiyo siku ya mwaka mpya wa kiislamu nayo sio fixed kama Januari mosi. Siku ya mwaka mpya nayo inategemea kuonekana kwa mwezi. Ina maana haijulikani mwakani itakuwa tarehe ngapi na mwaka unaofuata tarehe ngapi. Lazima Mufti atangaze kila mwaka.
 
Asiyeijua vizuri Zanzibar ni kwamba hii ni nchi ya kiarabu sema tu Tanganyika ndiye inamlazimisha na hii nchi ni full bata, yaani hakuna sikukuu ndogo hasa hapa Unguja ni full shangwe, raha sana.

Mzee baba, mzee wa uchumi wa buluu nampa 👊🏾 maana anajua Zanzibar hakuna kazi nyingi kama bara so muda mwingi wananchi wale bata tu, ahahahaaa...
 
Ila mwaka mpya ya kikristo 2022 na mingine sawa kuwa sikukuu.
Zanzibar inaenda kuwa full Islamized
Mpaka sasa ni rasmi

1. marufu kula mchana Ramadhani,

2.kwenda kuhiji Serikali inalipia,

3. Kujenga makanisa ni marufuku

4.mwaka mpya wa Kiislamu ni public holiday,

nasubiri kusikia Ijumaa na Jumamosi ndio siku za mapumziko, Jumapili watu waende kazini
 
Hatimae Rais wa Zanzibar amepitimiza ahadi yake aliyotoa HIVI karibu wakati WA hafla ya kuukaribisha mwaka mpya wa Kiislam HIJRIYYA Kwamba Serikali imo katika mchakato wakuifany Siku ya Mwaka mpya wa Kiislam kuwa siku ya mapumziko Sawa na mwaka mpya wa Miladiya

Akitangaza Leo tarehe 5/8 katika Msikiti Quba uliopo Kwa Boko mjini hapa ametangaza Rasimi kwamba Serikali imeridhia kuifanya siku hiyo kuwa na ya Mapumziko kama ulivyo Ile ya Miladia ambapo siku ya tarehe mosi ya kila mwaka NI Mapumziko

Hivyo Rasmin kila tareha 1 MUHARRAM ya kila mwaka itakua ni siku ya Mapumziko

HONGERA DR MWINYI
HONGERA OFISI YA MUFTI
HONGERA WAZANZIBARI
Takhbiiiiiiirrrr !!
 
Sa mnanuna nini, mbona mwaka mpya ni siku ya mapumziko??? Au hamjui kuwa kalenda hiyo ni kalenda inayoshabihiana na matukio ya kristo??? Zanzibar ni waislam kwa 99% hvyo maamuz ya kukumbatia mila za dini yao ni yao wao wenyewe ukinuna tafuta nchi yko ufanye kazi non-stop
 
Zanzibar wanakaunyanyapaa fulaninkwa ukristo na wakristo eeh!!?. But haina shida chaguzi zikifika polisi buti za polisi huwa zinakanyaga mpk misikitini.
Haijalishi kama kutuua mshatuua Sana Tu jiulize msimamo WA wazanzibar umegeuka??
 
Sijaona ubaya wa hii kama wengi wetu tuvyohisi, kwa sababu ya nature yao binafsi naona ni sawa kabisa.
 
Tatizo ni kuwa hiyo siku ya mwaka mpya wa kiislamu nayo sio fixed kama Januari mosi. Siku ya mwaka mpya nayo inategemea kuonekana kwa mwezi. Ina maana haijulikani mwakani itakuwa tarehe ngapi na mwaka unaofuata tarehe ngapi. Lazima Mufti atangaze kila mwaka.
Kuna ttzo gn mbona kuandama kwamwezi yote 12 kunatangazwa na Mufti kama hufahamu Hilo pia ujuwe ZANZIBAR NI miongonj mwa Nchi chache zenye vyombo vya kisas vya kuangalia muandamo WA mwezi
 
Asiyeijua vizuri Zanzibar ni kwamba hii ni nchi ya kiarabu sema tu Tanganyika ndiye inamlazimisha na hii nchi ni full bata, yaani hakuna sikukuu ndogo hasa hapa Unguja ni full shangwe, raha sana.

Mzee baba, mzee wa uchumi wa buluu nampa maana anajua Zanzibar hakuna kazi nyingi kama bara so muda mwingi wananchi wale bata tu, ahahahaaa...
KAZI zote za maguvu toka asili Zanzibar zinadanywa na Watanganyika methali ya MZIGO MZITO MPE MNYAMWEZI inaakisi ukweli huo kwamba Watanganyika NI WATUMWA wetu toka asili
 
Iran kuna balozi wa Vatican nao wanatawaliwa na Vatican?
Vatican NI mamlaka ya kikristo Balozi WA Vatican NI mwakikishi WA Papa kuwa nae mtu wa Aina hiyo haitaki tochi kwamba kabisa NI sehemu ya Serikali
By the way Lete ushahidi kuwepo Balozi WA Vatican Iran
 
Back
Top Bottom