Sasa Siku ya Mwaka mpya wa Kiislam ni Siku ya mapumziko rasmi Zanzibar

Siasa za Zanzibar huwezi kuzitenganisha na dini ya uislamu, ni ngumu mno, huku bara tu ndiyo tunawashikilia zanzibar ila wengi wa watu wazima ukiongea nao vizuri hawapendi muungano huu,wanatamani kila kitu kivunjike...wengi husema viongozi wa Zanzibar ni vibaraka wa huku mainland... kibaya zaidi hatuna ubavu kwa sasa wa kujiachanisha na zenji kwa kuwa mainland ni vibaraka wa binadamu wenzetu.
 
Mtangaze tu kuwa zanzibar ni islamic state
Marufuku kutembea bila hijab
Marufuku wanawake kuendesha magari
Vilevi viwe na kibaki maalumu
Marufuku kufuga nguruwe nchini humo isipokuwa kwa ajili ya utafiti n.k
Mkuu imani za kidini huwa zina athari ya kiutamaduni kwa watu waliokuwa wengi na kuishi kwa pamoja. Nafikiri siku zote kundi kubwa la kijamii la waliokuwa wengi hupewa heshima ijapokuwa kundi dogo nalo huthaminiwa.

Pamoja na kwamba mimi siyo Muislamu, bali nafikiri tujielekeze zaidi katika nia njema iliyopo nyuma ya uamuzi huo. Mbona kwa watu wengi ambao wameishi Ulaya au hata kwa kuangalia katika "Google search engine" utakuta nchi zenye Wakristo wengi hata sikukuu zao za kidini hupewa heshima hiyo.

Mathalani, kwa nchi kama ya Ubelgiji haitambui kabisa uwepo wa sikukuu za Kiislamu katika kalenda yake ya mwaka 2022, ila imejaa sikukuu za Kikristo. Siku ya Jumapili huchukuliwa kama siku ya mapumziko ya juma, na Ijumaa ni siku ya kazi.

Mfano wa sikukuu za Kikristo pekee upo hapa chini kama vile ifuatavyo;

Easter Monday
Monday, 18 April 2022

Ascension Day
Thursday, 26 May 2022

Whit Monday
Monday, 6 June 2022

Assumption of Mary
Monday, 15 August 2022

All Saints' Day
Tuesday, 1 November 2022

Christmas Day
Sunday, 25 December 2022
 
Hatimae Rais wa Zanzibar amepitimiza ahadi yake aliyotoa HIVI karibu wakati WA hafla ya kuukaribisha mwaka mpya wa Kiislam HIJRIYYA Kwamba Serikali imo katika mchakato wakuifany Siku ya Mwaka mpya wa Kiislam kuwa siku ya mapumziko Sawa na mwaka mpya wa Miladiya


Akitangaza Leo tarehe 5/8 katika Msikiti Quba uliopo Kwa Boko mjini hapa ametangaza Rasimi kwamba Serikali imeridhia kuifanya siku hiyo kuwa na ya Mapumziko kama ulivyo Ile ya Miladia ambapo siku ya tarehe mosi ya kila mwaka NI Mapumziko

Hivyo Rasmin kila tareha 1 MUHARRAM ya kila mwaka itakua ni siku ya Mapumziko


HONGERA DR MWINYI
HONGERA OFISI YA MUFTI
HONGERA WAZANZIBARI
MashaaAllah
 
Zanzibar inaenda kuwa full Islamized
Mpaka sasa ni rasmi

1. marufu kula mchana Ramadhani,

2.kwenda kuhiji Serikali inalipia,

3. Kujenga makanisa ni marufuku

4.mwaka mpya wa Kiislamu ni public holiday,

nasubiri kusikia Ijumaa na Jumamosi ndio siku za mapumziko, Jumapili watu waende kazini
Kinakuuma nini wakati Sisi ndio tunalipa Kodi wewe deal na TANDAHIMBA huku mambo ya baghani tuachilie wenyewe
 
Mtangaze tu kuwa zanzibar ni islamic state
Marufuku kutembea bila hijab
Marufuku wanawake kuendesha magari
Vilevi viwe na kibaki maalumu
Marufuku kufuga nguruwe nchini humo isipokuwa kwa ajili ya utafiti n.k
Kwani Tanganyika c inatawaliwa kikristo au VP? Vile balozi WA Vatican ameshaondoka au yupo??
 
Mtu alie mshauri amemshauri ili amwingize mwenzake huku chaka maana ni mshabiki wa habari hizo au ameamua kujilipua maana mwisho wa uongoz wake utakuwa zanzibar bara ataisikia ktk ndoto kwa maamuz amefanya.
Bara kaa wewe Nani alikwambia ana hamu KUISHI uwanja WA fisi??
 
Halafu huyu Hussein Mwinyi sikujuaga ni mtu wa hovyo kiasi hiki.
Waovyo kuliko lile JIWE lenu ? Katik uongoz wanchi hii wanaofanya vizur NI wale waliostarabika NAO watakuwa Waislamu na khasa wakutoka ZANZIBAR kubali kataa huo ndio ukweli
 
Zanzibar inaenda kuwa full Islamized
Mpaka sasa ni rasmi

1. marufu kula mchana Ramadhani,

2.kwenda kuhiji Serikali inalipia,

3. Kujenga makanisa ni marufuku

4.mwaka mpya wa Kiislamu ni public holiday,

nasubiri kusikia Ijumaa na Jumamosi ndio siku za mapumziko, Jumapili watu waende kazini
Zanzibar wanakaunyanyapaa fulaninkwa ukristo na wakristo eeh!!?. But haina shida chaguzi zikifika polisi buti za polisi huwa zinakanyaga mpk misikitini.
 
Zanzibar inaenda kuwa full Islamized
Mpaka sasa ni rasmi

1. marufu kula mchana Ramadhani,

2.kwenda kuhiji Serikali inalipia,

3. Kujenga makanisa ni marufuku

4.mwaka mpya wa Kiislamu ni public holiday,

nasubiri kusikia Ijumaa na Jumamosi ndio siku za mapumziko, Jumapili watu waende kazini
Iyo namba 3 ina ukweli? Mbona makanisa yapo na yanaendelea?
 
Iyo namba 3 ina ukweli? Mbona makanisa yapo na yanaendelea?
Hapana sio kweli Makanisa yapo na mengine yanajengwa. Mwezi uliopita kulikuwa na mkutano mkubwa wa Injili na wahubiri walitoka Marekani. Mkutano ulifanyika kwenye viwanja vya Amani na mgeni rasmi aliofungua huo mkutano ni mkuu wa Wilaya.
 
Back
Top Bottom