Freeman Mbowe awatakia Waislam Wote Heri na Baraka za Mwaka Mpya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,755
218,373
Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , akitambua kwamba leo ni Mwaka Mpya wa Kiislam , huku Nchini Zanzibar ikiwa ni siku ya Mapumziko amewakumbuka ndugu zake Waislam

Freeman Mbowe ambaye anajulikana huko Pemba kwa jina la Ustaadh Aboubakar Mbowe , ametuma salamu hizo za heri na Baraka kwa Waislam , huku akiwataka Waislam kutenda mambo mema kama alivyoagiza Allah Subhannah .

Ujumbe wake mfupi huu hapa

Screenshot_2023-07-19-19-45-36-1.jpg
 
Back
Top Bottom