Kuanzia sasa Siku ya Mwaka Mpya wa Kiislamu ni Mapumziko ya kitaifa

Ofisi ya Mufti iliomba Serikalini Siku ya Mwaka Mpya wa Kiislamu iwe Mapumziko ya kitaifa

Ombi hilo limekubaliwa na Serikali hivyo kuanzia sasa Siku ya Mwaka Mpya wa Kiislamu ni Mapumziko

Source: Zanzibar
Hiyo source yako ndiyo mamlaka gani!!
Embu jitahidi uwe kama ndugu @ bagamoyo.
 
Hebu Niwekeni sawa kuhusu Agizo hili la Allah.

فَإِذَا قُضِيَتِ الصَّلَاةُ فَانتَشِرُوا فِي الْأَرْضِ وَابْتَغُوا مِن فَضْلِ اللَّهِ وَاذْكُرُوا اللَّهَ كَثِيرًا لَّعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ

[ AL - JUMUA' - 10 ]
Na itakapo kwisha Sala, tawanyikeni katika nchi mtafute fadhila za Mwenyezi Mungu, na mkumbukeni Mwenyezi Mungu kwa wingi ili mpate kufanikiwa.
 
Back
Top Bottom