Sasa Siku ya Mwaka mpya wa Kiislam ni Siku ya mapumziko rasmi Zanzibar

Mambo ya kijinga kabisa haya. Badala waongeze siku za kufanya kazi wanazipunguza. Hata kwa madawa na chakula tu hawajitoshelezi halafu bado wanataka wale bata.
Wewe yanakuuma nini wacha wivu wakike utavishwa shangaa
 
Zanzibar inaenda kuwa full Islamized
Mpaka sasa ni rasmi

1. marufu kula mchana Ramadhani,

2.kwenda kuhiji Serikali inalipia,

3. Kujenga makanisa ni marufuku

4.mwaka mpya wa Kiislamu ni public holiday,

nasubiri kusikia Ijumaa na Jumamosi ndio siku za mapumziko, Jumapili watu waende kazini
Watangananyika shughulikieni ya kwenu yetu hamtoyaweza
 
Back
Top Bottom