Sasa RASMI gazeti la Mwananchi na TanzaniaDaima ni mali ya Chadema.

Magamba bwana hata kujenga hoja hayajui. Unataka kila gazeti liwe na vichwa vya habari vinavyo fanana? Umesoma wapi weyeeeeeeee gamba.
 
Tunahitaji utekelzaji na wala sio maandishi. Story ni matokeo ya utendaji mzuri na inahitaji kumshawishi mwandishi kutoka na story yako. Hata hivyo tunahitaji coverage ya mambo tofauati tofauti na si wote kutoka na habari moja.

Tido mhando ni kichwa cha ukwelia man of facts anaelenga kupambana na ubabaishaishaji katika habari. Alikuwa tbc na ilikubalika sana na watu wa kada zote. Upuuzi wa ccm na zana ya visasi kwa mtu anaefanya mambo kwa kuzingatia taaluma wakamtimua, sasa tbc imepoteza mvuto na viwango haina tena, inaporomoka kwa kasi.

Tuwaache wanahabari wafanye coverage zao kila chombo kwa kadri ya mashiko, sera na mtazamo wake ili kuleta ladha ya habari kwetu walaji.
 
Aise pole sana kwa hiyo disappointment..!Achana nayo hayo magazeti tafuta Mzalendo lina title "ccm bab kubwa"!Soma hilo wasambazie ndugu na majirani angalau roho yako isuuzike.
 
Hakika sio siri tena kuwa gazeti la Mwananchi na TanzaniaDaima ni magezeti ya Chadema waziwazi na jana wamepata tabu sana kupata stori ya kuenda nayo leo.WameshIndwa kabisa kusema ukweli juu mkutano wa CCM jana jangwani....kwa gazeti kubwa kama Mwananchi hii ni aibu kubwa....

jina lako lenyewe linatosha kukuelezea ni jinsi gani uelewa wako ulivyo,kesho utatuambia gazeti fulani na fulani hawaripoti sendoff yako,je ni lazima waandishi wa habari kuandika habari ya mabwana zako?mbona tbc hawatoi habari zote ilhali tbc ni mali ya watanzania?au watanzania ni ccm tu?
 
Hakika sio siri tena kuwa gazeti la Mwananchi na TanzaniaDaima ni magezeti ya Chadema waziwazi na jana wamepata tabu sana kupata stori ya kuenda nayo leo.WameshIndwa kabisa kusema ukweli juu mkutano wa CCM jana jangwani....kwa gazeti kubwa kama Mwananchi hii ni aibu kubwa....

Mimi ccm damu lakini kiuhalisia haya mkutano wa jana ulikuwa ni mipasho zaidi na uliharibiwa na Wasira na Guninita
 
Hakika sio siri tena kuwa gazeti la Mwananchi na TanzaniaDaima ni magezeti ya Chadema waziwazi na jana wamepata tabu sana kupata stori ya kuenda nayo leo.WameshIndwa kabisa kusema ukweli juu mkutano wa CCM jana jangwani....kwa gazeti kubwa kama Mwananchi hii ni aibu kubwa....

Acha kudanganya watu, hebu soma HAPA. Au hii sio ya mkutano huo
 
Mkutano wa jana ulikuwa hauna jipya, yote yaliyozungumzwa wananchi washayazoea masikion mwao. Yani ulitegemea kwa waandishi makini kurudia kuandika pumba. Jana watu wengi walitegemea CCM kuja na sera mpya zitakazorudisha matumaini kwa wananchi, mfano: mkakati wa sera yao ya kujivua gamba ilipokomea na hatua zitakazochukuliwa viongozi walioliingizia taifa hasara ya mabilioni na mengineyo mengi. Matokeo yake jana mnaendeleza kuimba mipasho. Big up waandishi makini.
 
Hapana. Na hii ni fact. Mwananchi, au jopo la wahariri wake wote wako kwenye payroll ya Lowassa.
Mtakumbuka pia Lowassa ndiye aliyemleta Tido TBC na sasa kampeleka mcl.
Tz daima ni la Mbowe hivyo ni haki kuitetea cdm.
Uhuru aka Mzalendo ni la CCM. Haliwezi kuandika mema ya cdm.
 
Hakika sio siri tena kuwa gazeti la Mwananchi na TanzaniaDaima ni magezeti ya Chadema waziwazi na jana wamepata tabu sana kupata stori ya kuenda nayo leo.WameshIndwa kabisa kusema ukweli juu mkutano wa CCM jana jangwani....kwa gazeti kubwa kama Mwananchi hii ni aibu kubwa....

....mbona TBC,ilishindwa kurusha matangazo live ya mkutano wa CDM wa jangwani?mbona hamkulalamika?akiny..... kuku kany... bata kaharish......
 
Hakika sio siri tena kuwa gazeti la Mwananchi na TanzaniaDaima ni magezeti ya Chadema waziwazi na jana wamepata tabu sana kupata stori ya kuenda nayo leo.WameshIndwa kabisa kusema ukweli juu mkutano wa CCM jana jangwani....kwa gazeti kubwa kama Mwananchi hii ni aibu kubwa....
Mbona unahasila sana? Lazima utakuwa nape CDM walipofanya mkutano uhuru na mzalendo walitokaje?
 
Gizakuu ulitaka waandike CCM YAFUNIKA JANGWAANI, MAELFU WARUDISHA KADI.

CDM WACHANGANYIKIWA, MAGUFULI CDM MTATEMBEA KWENYE LAMI TULIZOJENGA. TIBAIJUKA ATAMBIA MJI MPYA KIGAMBONI!!!

Basi kama mwananchi hawajaandika hivyo mimi nimeandika furahi basi.
 
ukisema ukweli uko upinzani sijajua kama kweli haya magazeti yanatatizo gani bali ni ukweli wa kufichua uozo wa serikali na sector zake chini ya ccm kwa hiyo wanayo haki ya kuelima jamii, kutoa ukweli kwenye jamii na wala sikuficha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom