Sasa RASMI gazeti la Mwananchi na TanzaniaDaima ni mali ya Chadema.

alitaka yaandike hivi! "CCM YAITEKA DAR" au "CCM YAIFUNIKA CHADEMA"harafu waweke picha ya kampeni za mwaka 2010! Kaka c ukanunue uhuru upate kitu ulichotegemea? Na bado 2014 ndo mtalia sana na magazeti!
 
Ni ajabu kweli. Hivi fani hii ya uandishi wa habari siku hizi wanafundishwa siasa nini? Inawezekanaje waaandishi wa habari waende kwenye mkutano mkubwa kama ule na wakashindwa kuondoka na kitu cha kuripoti eti kwa sababu tui si wakereketwa wa chama hicho? Nini nafasi ya Waandishi wa habari katika maendeleo ya mtanzania?
Kenge, ulitaka waandike ahadi za uongo wa Wasira wa kuanzisha mashamba makubwa ya mpunga Kilombero wakati ameshindwa kusafirisha mahindi kutoka Songea, Ludewa na Sumbawanga? kama alishindwa kuwapelekea wakulima mbolea kwa wakati muafaka anawezaje kuanzisha kilimo cha mpunga? Jamani acheni ushabiki wa kitoto hapa. Gazeti makini haliwezi kuandika upuuzi ulionadiwa na mawaziri wachovu kama wale wa jana pale Jangwani. Au ulitaka waandike MAGUFULI APOKEA KADI FEKI 450 za cdm?
 
hopeles kabisa, unataka magazet yote yasifie ujinga waliokuwa wanaongea pale! Nin kipya walichosema! Labda kubeba watu na malor toka kibaha,bagamyo,mlandiz n.k 2taweza kuhabarisha, keep it up kibanda and tido, magazet haya huwez kuyanunua na kuwapangia cha kuandika.
 
Hakika sio siri tena kuwa gazeti la Mwananchi na TanzaniaDaima ni magezeti ya Chadema waziwazi na jana wamepata tabu sana kupata stori ya kuenda nayo leo.WameshIndwa kabisa kusema ukweli juu mkutano wa CCM jana jangwani....kwa gazeti kubwa kama Mwananchi hii ni aibu kubwa....

Na wewe ni Mwandishi wa gazeti gani la udaku?

Yaani Mwananchi wakose habara sawa, lkn washindwe hata kupiga picha za mabasi yaliyokodiwa na CCM kuondoa aibu ya kukosa wasikilizaji wa madudu yao kama inavyokuwa kwenye mikutano ya Nape mikoani?
 
Hakika sio siri tena kuwa gazeti la Mwananchi na TanzaniaDaima ni magezeti ya Chadema waziwazi na jana wamepata tabu sana kupata stori ya kuenda nayo leo.WameshIndwa kabisa kusema ukweli juu mkutano wa CCM jana jangwani....kwa gazeti kubwa kama Mwananchi hii ni aibu kubwa....

Mkuu ww bado unasoma hili gazeti la tunao waits waandishi uchwara? Mie niliisha liacha na niliagiza ofisi yangu wasilinunue tena including my subordinates
 
Sasa waseme nini!! kama hakuna kitu cha mana CCM imeongea hapo Jangwani!!. Nani angenunua hayo magezeti!, usisahau hawa ni wafanya biashara, hawapo kupamba magazeti tu.
 
Matusi ya nini sasa simjibu tu kwa hoja.Kama ndo ulivyo utakuwa mtumwa wa siasa na zitakuua wewe.
wewe ni mpuuzi, mjinga, mpumbavu na wa kupuuzwa................. na ntaamini hivyo hadi utoe vithibitisho (documents)

tena una shida kubwa sana ya mahangaiko

mambaff
 
Mtoa thread ni mzandiki kama wassira na nape. Mbona magazeti hayo wametoa habari ya mkutano wa magamba kwenye front page zao? Tena na mapicha wameweka. Naona magamba mmeanza kumwandama Tido, au mlitaka aweke picha ya sokwe wenu wasir ndio mlidhike?
 
Nini kipya kilichokuwepo jana?? Hizi shule za kata jamani zitatusumbua sana humu, poor analysis and poor ability to make augments. Na huku UDOM mlikojaa haya ndiyo matokeo yake.

Hakika sio siri tena kuwa gazeti la Mwananchi na TanzaniaDaima ni magezeti ya Chadema waziwazi na jana wamepata tabu sana kupata stori ya kuenda nayo leo.WameshIndwa kabisa kusema ukweli juu mkutano wa CCM jana jangwani....kwa gazeti kubwa kama Mwananchi hii ni aibu kubwa....
 
Mkuu ww bado unasoma hili gazeti la tunao waits waandishi uchwara? Mie niliisha liacha na niliagiza ofisi yangu wasilinunue tena including my subordinates

Someni uhuru na kusikiliza redio uhuru,
Mwananchi ni gazeti la wananchi sio nyinyiyenu!
 
Mpaka usome mwananchi na Tanzania daima ndo yatasuza roho yako, acha upumbavu mbona sisi tulishaacha kusoma Uhuru, Mzalendo, Habari leo na Jambo leo hata nikikuta kipande cha magazeti hayo kimefungiwa kitumbua siri hicho kitumbua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom