namaanisha maandalizi na shughuli yenyewe ya arusi ningependa yafanywe na members wa JF, thats all.
Hapo kwenye bold sio lazima mkuu, urafiki wa kujuana vizuri zaidi, japo so far so gooooooooooooooooooooooooood!!!!!!!!!!!!!!!!!
hongereni sana
msinisahau mtunza fedha
wenu hapa!nina uzoefu kwny hilo!!
mungu awaongoze mtimize ndoto yenu!
Hajapata Mke, ndio kwanza wamefichuana kutoka JF na wanaanza na urafiki wa kawaida, kuonjana, ikiwa safi anachukua jumla.
Passion Lady kweli we wa ARA CHUGA haujakopesha fasta ushajipendekeza mwenyewe
hata mimi naamini hivyochezea ngawira wewe
ila mi nimetaka nafasi
kwa nia njema kabisa hahaa!