Sam senior
New Member
- Feb 22, 2011
- 4
- 2
Hongera kwa kuamini hivyo
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
acha umbea wako:yo::yo:
hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha
Hakunaga kama jf..kama naiona kamati ya watu kama milioni
unacheka mazuri hayo eeeh ole na tuja gete
jf ni zaidi ya google!!!:yo:
Kimya kingi? Au set up zlikuwa znafanyika?
hahaha mbona umeng'ang'ania sana ww,niko busy my dia believe me
oukei ntakupgia
tusitiane presha utanipigia kwa njia ya ramli au:smile-big:
unasubiri nini sasa?
Hajapata Mke, ndio kwanza wamefichuana kutoka JF na wanaanza na urafiki wa kawaida, kuonjana, ikiwa safi anachukua jumla.::
Hongera sana
Umeshinda ule usemi atafutae mke asie na makosa hataoa.
Ngoja nami nisubiri pengine ntapata
=
Hapo kwenye bold sio lazima mkuu, urafiki wa kujuana vizuri zaidi, japo so far so gooooooooooooooooooooooooood!!!!!!!!!!!!!!!!!Hajapata Mke, ndio kwanza wamefichuana kutoka JF na wanaanza na urafiki wa kawaida, kuonjana, ikiwa safi anachukua jumla.