nimechoka na hongera zako wewe toka 2010 hujapata tu humu dalaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii utuwekee thread nakuni mention khaaaaa ntaanza mkakati wakukutafutia hakianani huwezi kaa ubachela mpaka miaka 35 !!!!!!lol
ndo nini kutusimanga wenzio?
aiseeh hongera sana,unatuhamasisha tuanzishe thread ya kutafuta naniiiii:smile-big::smile-big:
Heee,kumbe inawezekana!
Ngoja nami nianze mdogomdogo.
ahahaaaKama nakuona vile!
Teh teh teh. Kwani bado? Au kile kimya ndo kina mshindo?