Sasa Nimeamini JF ni kila kitu, hatimae am in a relationship!!!

Sasa Nimeamini JF ni kila kitu, hatimae am in a relationship!!!

Hongera sana, maana kuna post nilisoma humu inasema ni ngumu sana kumpata mwenza hapa JF na eti hata ukimpata
atakutapeli ile mbaya! Kumbe hayo yote ni uongo! Kwa jinsi ulivyosimulia, inaelekea umempata wa ukweli tena huna wasiwasi naye. Halafu kwa kuangalia trend ya ushiriki wa member wa kike hapa mmu,kuna kitu kinaniambia kuwa uliyempata ni..... ni.. ............ntasema siku nyingine
 
a wapiiiiiiii hilo hata lisikutishe lolz... kwanza huyu anajitangaziaga kwamba anataka awe single for life.. we kazi kwako kutupa nyavu unaweza kumdaka.

hivyoeee... Smile nimekushtukia, ngoja nkuibukie PM.

Haika awae neggirl.
 
Last edited by a moderator:
a wapiiiiiiii hilo hata lisikutishe lolz... kwanza huyu anajitangaziaga kwamba anataka awe single for life.. we kazi kwako kutupa nyavu unaweza kumdaka.
hivi sister anaruhusiwa kuwa na mwanaume?
 
hongera sana sijui niahidi zawadi yangu kabla hata ya mwaliko?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom