Sasa ni rasmi, TAMISEMI imemshinda Bashungwa, imebidi Waziri Mkuu aingilie kati, ndio wizara yenye kelele za uozo

Bashungwa, Waziri kijana, ambaye ilitarajiwa "damu iwe inachemka" awe anapanda na kushuka,anakaba huku na kule, ameonekana Mzee kuliko Waziri Mkuu.

Waziri Mkuu anaenda Arusha, anaenda Singida, anajua mambo ambayo alitakiwa Bashungwa awe ameshayajua na kuchukua hatua....hamna kitu.

Alikuwa na Rais Mkoa wa Mara, hakuna hatua iliyochukuliwa.

Hii wizara ndio injini ya nchi, ndiyo inamgusa mwananchi, na ndio mishipa ya damu ya nchi, mirija ya kufikisha huduma kwa mwananchi ni kupitia Tamisemi.

Nadhani kwa Sasa Bashungwa apumzike, Rais afanye scouting ya mtu ambaye hatacheka na kima.

Waziri wa Tamisemi anatakiwa awe more than active.

Ila ombi letu Bashe asitolewe kilimo. Binafsi naona Mchengerwa atamudu kukabana na hawa jamaa wa Tamisemi
Hii wizara ni ngumu kuiongoza, kwasababu kila siku una deal na wateule wenzako, RCs,RASs,DCs DASs na Executive Directors nchi nzima wameteuliwa na Rais kwa kushauriana na VP, PM. Na wengi wa wateuliwa Wana connection na vigogo wa chama na serikali... Remember Makonda/ Jaffo episode....Bashungwa anaweza kuwa Yupo kama Kiranja tuu but mwisho wa siku mtoa adhabu ni Mwalimu wa zamu (PM) au mwalimu MWalimu Mkuu.
 
Teuzi Za hao RC.DAS zingekua zinaanzia TAmisemi hiyo wizara ingekua nyepesi

Wizara kubwa lakini Waziri hana mamlaka ya kuteua wala kutumbua watendaji wake watamsikiliza vipi wote ni wateule wa Raisi na huko chini ndio kwenye madudu
 
Hapo Tamisemi alikuwepo Jaffo akaonekana hafai, akaja Ummy hakufaa, leo Bashungwa nae hafai....

Naona hiyo wizara inamuhitaji malaika kutoka mbinguni aje kuiongoza.
Tatizo la halmashaur kama hujafanyako kaz huwez kujua yamle yamlee . Wewe tu hapo ulipo pewa hamlmshaur zako 3 tu usimamie uone utavowaka kichwa
 
TAMISEMI inahitaji mtu mahiri kiasi lakini na mnoko sana lakini kwa Bashungwa ni kama iko nje ya uwezo wake. Mimi nashauri Mchengerwa apewe TAMISEMI halafu Bashungwa arudi kwenye michezo.
Usiwatilie kitumbua mchanga wenzako wa utamadun sasa hiv wamestarehe na mh wao wana mipango full full yan mpaka raha kuwa utamaduni.we hujui tu.
 
Teuzi Za hao RC.DAS zingekua zinaanzia TAmisemi hiyo wizara ingekua nyepesi

Wizara kubwa lakini Waziri hana mamlaka ya kuteua wala kutumbua watendaji wake watamsikiliza vipi wote ni wateule wa Raisi na huko chini ndio kwenye madudu
Hata huyo Mama hataweza TAMISEMI.
 
Teuzi Za hao RC.DAS zingekua zinaanzia TAmisemi hiyo wizara ingekua nyepesi

Wizara kubwa lakini Waziri hana mamlaka ya kuteua wala kutumbua watendaji wake watamsikiliza vipi wote ni wateule wa Raisi na huko chini ndio kwenye madudu
Uko sahihi kabisa...nashauri Kazi za kuteua at least wakurugenzi wa wilaya na halmashauri apewe Waziri kwa kushauriana na Karibu Mkuu wake...ikiwa hivyo kutakuwepo na discipline kwa viongozi wa Wizara...for now sidhani kama tutaona impact yoyote...infact sijawahi kusikia Wizara yoyote Waziri akimwajibisha mkurugenzi yeyote katika wizara yake zaidi ya kumsimamisha tuu ili kupisha uchunguzi..na matokeo ya uchunguzi hakuna anayasikiaga kwenye TV Tena...sanasana utasikia aliyesimamishwa kahamishiwa sehemu nyingine au karudishwa wizarani... yaani system yetu nahisi kuna sehemu inakosa matumaini ya kufanya Kazi(HOPELESS) .NA organization, institution au nchi yeyote yenye mpangilio mfu(useless system) haiwezi toboa...Am not sure kama inaruhusiwa waziri wa Sheria na katiba kupereka Mswada bungeni kubadirisha vifungu kadha wa kadha vya katiba ili kuruhusu mabadiriko chanya..kama jibu ni NDIYO basi Serikali ina haja kubwa sana ya kufanya marekebisho hayo yenye tija...hakuna sababu ya kufuja Kodi na tozo za wananchi kutengeneza jitu kubwa kama vile Bunge la katiba kurekebisha vitu hivi vidogo vidogo... naweza nikawa wrong but huo ni mtizamo wangu
 
Back
Top Bottom