Sasa ni rasmi: Serikali Imeishiwa

Sasa ni rasmi: Serikali Imeishiwa

Nonsense..... Kwann Watanzania hatupendi kulipa kodi? Afu ni lini TRA walitunga sheria za kodi? Wakulaumiwa ni BUNGE wao hutunga then TRA hufata. Tuache lawaza bhana watu hatulali kukusanya pesa ili mpate hizo barabara na shule lakini kuna kundi la watu huona kama hakuna kifanyikacho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pumbavu hulali kwa faida ya wanasiasa na mtatumikishwa sana nyau nyie unavyojitapa kujenga barabara utazani nchi nzima kila kijiji kina lami.
 
Hahhaaaa dah mzee unajua unachokiongea kweli au unatafuta majibu aisee??
Ingekuwa kuna limit ya madeni, walahi JPM asingebeba mzigo wa tangia enzi za mwalimu, Mzee Ruksa na Bw. Ben achilia mbali JK...
Deni halifi baba na hata kurithi linarithi, au hujaona mtu anakopa benki kaweka nyumba/kiwanja rehani, akifa hata kama mali ilishaenda kwa watoto wenye chao wakija wanaibeba??
Dawa ya deni ni kulipa tuuu, labda mdeni wako akuonee huruma na kukusamehe ndio linaisha

Alaaniwe alieuwa elimu ya kweli nchi hii hadi kufikia kupata watu waliokaririshwa. Hivi umeshindwa japo ku-google ukajionea kuwa huwa kuna statutory limit ya kumdai mtu? Tofautisha claims zilizofanywa na zinazofanywa. Kwa akili yako Mkulima Stein amewasilisha claims zake mwaka jana?
Kwa sheria za nchi hii; ikipita miaka 6 bila kudai deni limekufa.
 
Leo asubuhi nimesikia gari inapita kutangaza habari ya Service Levy kwenye biashara. Inabidi wafanyabiashara tukalipe kuepusha usumbufu wa kufungiwa biashara.

Kwa kuongezea tu ni kuwa hio kitu itachukua 30% ya mapato ya biashar

Naomba niyahifadhi maneno yaliyonifyatuka toka mdomoni baada ya hapo! Sidhani kama yanafaa kuwepo hapa.
 
Kufunga biashara bila kulipa madeni yote, ikiwemo kodi sio rahisi. Jaribuni kuitazama vema sheria husika (ya kipindi hicho), je inaruhusu TRA kufanya wanachofanya licha ya tax audits? Kama sivyo peleka shauri mahakama ya kodi.
Kumbuka kuwa mamlaka ya kutoza kodi ni hatari kutumika vibaya na kinyume cha sheria, kama huridhiki ni bora kufuata taratibu ili haki ionekane. Usiumize kichwa kama upo sawia kwa miamala yako na taarifa zako za kodi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mfuko wa mkuu haujaja. Ukijaa ataacha maana hatakuwa na sehemu ya kutoa zaidi kwani vyanzo vyote vitakuwa vimekauka, na neema itakuwa imebaki kwenymfuko wake.

MTANIELEWA TU
 
Tatizo lako mleta mada hutaki kuheshimu maoni ya wengine. Unataka kila mtu awe na mtazamo wako. Sasa kama unajua kila kitu unalalamika nini si utumie ujuaji kutatua hilo tatizo?

Kila kitu kina taratibu zake. Mimi nilipewa tax bill ya ajabu. Nilikaa nao tukaongea,tukagombana tukaelewana na tukafikia kiwango ambacho niliafiki na ninakilipa kwa awamu.

Nilivyokusoma unasema anaedaiwa ni mteja wako ina maana wewe ni auditor wake au mhasibu unajua tatizo liko wapi. Mara nyingine nyinyi ndio msingi wa matatizo ya Kodi ya wafanyabiashara wengi.
 
I hope unajua implications ya ulichokiandika hapa. Na kamwe silazimishi mtu yeyote yule awe na mtazamo mmoja na mimi. Ninajua first hand na exactly normal tax procedures na regulations, najua pitfalls na weaknesses zilizopo kwa wafanyabiashara na tax collectors. (Nilishawahi kulaumiwa na Regional Manager wa TRA mkoa fulani kwa kuelimisha wafanyabiashara akidai kwa kufanya nilichofanya nilikuwa "naipunguzia serikali mapato")

Nilichofanya hapa ni kutangazia watu (read wafanyabiashara) wajue nini kinaweza kuwatokea ili wajipange. Sio lazima mtu aamini au akubaliane na ninayoyaandika hapa (fuatilia michango yangu hapa na ukiwa impartial utaelewa huwa nachangia nini).
 
Nonsense..... Kwann Watanzania hatupendi kulipa kodi? Afu ni lini TRA walitunga sheria za kodi? Wakulaumiwa ni BUNGE wao hutunga then TRA hufata. Tuache lawaza bhana watu hatulali kukusanya pesa ili mpate hizo barabara na shule lakini kuna kundi la watu huona kama hakuna kifanyikacho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nibunge sibunge LA ccm naserikali yake?au hujaelewa

Majibu yako mwanzo wa thread ni kama mipasho. At least mimi umenijibu vizuri. Hata ulivyoandika thread ni kama unawapa mipasho watu fulani ndio maana kuna misemo kama 'mnalo hilo' misemo hio na thread sensitive kama hii haiendani. Labda ndio maana pamoja na uzito wake kuna michango michache na hio michache mingi ni majibu yako makali
 
Ukisema "ni kama" ina maana hilo jambo ni subjective. Anyone is free to read whatever they want to read.
For the records; I don't believe in being politically correct. I believe in truth as I see it.
Whatever the language or idioms used.

And btw; my response depends on the prompt.
 
Ukisema "ni kama" ina maana hilo jambo ni subjective. Anyone is free to read whatever they want to read.
For the records; I don't believe in being politically correct. I believe in truth as I see it.
Whatever the language or idioms used.
Siku njema
 
Nonsense..... Kwann Watanzania hatupendi kulipa kodi? Afu ni lini TRA walitunga sheria za kodi? Wakulaumiwa ni BUNGE wao hutunga then TRA hufata. Tuache lawaza bhana watu hatulali kukusanya pesa ili mpate hizo barabara na shule lakini kuna kundi la watu huona kama hakuna kifanyikacho.

Sent using Jamii Forums mobile app
The nonsensical ni kwamba kampuni yake ya ujenzi inajenga kila sehemu na hailipi kodi.
Kwa nini adai za 2006?
 
Back
Top Bottom