Sasa ni rasmi: Serikali Imeishiwa

Sasa ni rasmi: Serikali Imeishiwa

Am sorry; but you have written here like an idiot. Mtu ana tax clearance kwa miaka yote hiyo utasemaje kuwa hakuwa analipa kodi? Acheni upumbavu wenu; nchi imeshawashinda.
Simple; nimemshauri mteja afunge kampuni. Mtamfanya nini sasa? Hata provisional tax yake (na huwa analipa minimum ya 15m) hatalipa akifunga biashara.
Kufunga biashara bila kulipa madeni yote, ikiwemo kodi sio rahisi. Jaribuni kuitazama vema sheria husika (ya kipindi hicho), je inaruhusu TRA kufanya wanachofanya licha ya tax audits? Kama sivyo peleka shauri mahakama ya kodi.
Kumbuka kuwa mamlaka ya kutoza kodi ni hatari kutumika vibaya na kinyume cha sheria, kama huridhiki ni bora kufuata taratibu ili haki ionekane. Usiumize kichwa kama upo sawia kwa miamala yako na taarifa zako za kodi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo hatuna Mahakama, kila taasisi inasimamiwa na kuendeshwa Na huyo huyo unemshitaki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nonsense..... Kwann Watanzania hatupendi kulipa kodi? Afu ni lini TRA walitunga sheria za kodi? Wakulaumiwa ni BUNGE wao hutunga then TRA hufata. Tuache lawaza za kisenge bhana watu hatulali kukusanya pesa ili mpate hizo barabara na shule lkn kuna kundi la wapumbavu huona kama hakuna kifanyikacho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kulikua na ulazima wa kutumia matusi. Tusijichumie dhambi isiyo na ulazima
 
Mleta mada unashangaa wafanyabiashara kudaiwa madeni ya zamani??
Serikali hii imeyakuta madeni ya tangu enzi za mwalimu na bado yanaendelea na riba juu, sasa hao bizinesimeni kwanini wasidaiwe??
Kila deni lina riba kwa mujibu wa masharti na vigezo na dawa yake ni kulilipa tu, haijalishi muda gani umepita.
 
Nonsense..... Kwann Watanzania hatupendi kulipa kodi? Afu ni lini TRA walitunga sheria za kodi? Wakulaumiwa ni BUNGE wao hutunga then TRA hufata. Tuache lawaza bhana watu hatulali kukusanya pesa ili mpate hizo barabara na shule lakini kuna kundi la watu huona kama hakuna kifanyikacho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nawe TRA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulikua na ulazima wa kutumia matusi. Tusijichumie dhambi isiyo na ulazima
Sorry for that.. nilikereka maana nilipataga ishu kama hiyo afu unaonekana mla rushwa. Kazi lawama haziishi kwakuwa hatujazoea kulipa kodi kwa hiyari. Makadirio ya kodi huwa fair kulingana na muktadha husika. Haonewi mtu wala serikali haikosi kodi yake. TUPENDE NCHI YETU. SAMAHANI KWA KUTUMIA LUGHA KALI NA YENYE KUUDHI. MNIWIE RADHI.

Now you are talking. Cheers
 
Am sorry; but you have written here like an idiot. Mtu ana tax clearance kwa miaka yote hiyo utasemaje kuwa hakuwa analipa kodi? Acheni upumbavu wenu; nchi imeshawashinda.
Simple; nimemshauri mteja afunge kampuni. Mtamfanya nini sasa? Hata provisional tax yake (na huwa analipa minimum ya 15m) hatalipa akifunga biashara.

Am sorry twice; but nawe umeandika hapa kama double idiot. Mtu huwezi kuwa na tax clearance then uletewe madai? Kumshauri afunge kampuni ni upumbavu zaidi kwani hiyo haiondoi kudaiwa na sana sana utamfanya mali zake zipigwe mnada tu kufidia pesa ya watu.
Mwambie akalipe deni hiyo ndiyo suluhisho. Kila mzungu sio padre, anaweza kuwa na tax clearance but forge
 
Mimi nilidhani unakuja na scientific analysis ya hii heading yako, ukichambua viashiria( indicators) vya serikali kuishiwa, ukielezea Zimbabwe iliangukaje na kwann tuko katika njia hiyo..Sasa hili unalosema wewe ni uzushi tu unaoelekea hujui unachokisema..Tushauri kama nchi ni kwa vipi tuepuke hili janga...
 
Am sorry twice; but nawe umeandika hapa kama double idiot. Mtu huwezi kuwa na tax clearance then uletewe madai? Kumshauri afunge kampuni ni upumbavu zaidi kwani hiyo haiondoi kudaiwa na sana sana utamfanya mali zake zipigwe mnada tu kufidia pesa ya watu.
Mwambie akalipe deni hiyo ndiyo suluhisho. Kila mzungu sio padre, anaweza kuwa na tax clearance but forge
Inaelekea una uelewa japo kidogo, hebu ongeza maarifa ili siku nyingine uweze kuelewa hoja iliyopo. Tax audit inaweza kufanywa mara ngapi kwa mwaka ule ule mheshimiwa genius?
 
Mleta mada unashangaa wafanyabiashara kudaiwa madeni ya zamani??
Serikali hii imeyakuta madeni ya tangu enzi za mwalimu na bado yanaendelea na riba juu, sasa hao bizinesimeni kwanini wasidaiwe??
Kila deni lina riba kwa mujibu wa masharti na vigezo na dawa yake ni kulilipa tu, haijalishi muda gani umepita.

Sishangai deni kuwa la siku nyingi, hoja ipo kwenye ukweli kuwa haiwezekani "deni" ambalo halijawahi kudaiwa lije kudaiwa miaka 14 baadae. Mdai alikuwa wapi kulidai siku zote hizo?
Teteeni mtakavyoweza, Ila ukweli ni kuwa jiwe mambo yanamuendea kombo.
 
Kufunga biashara bila kulipa madeni yote, ikiwemo kodi sio rahisi. Jaribuni kuitazama vema sheria husika (ya kipindi hicho), je inaruhusu TRA kufanya wanachofanya licha ya tax audits? Kama sivyo peleka shauri mahakama ya kodi.
Kumbuka kuwa mamlaka ya kutoza kodi ni hatari kutumika vibaya na kinyume cha sheria, kama huridhiki ni bora kufuata taratibu ili haki ionekane. Usiumize kichwa kama upo sawia kwa miamala yako na taarifa zako za kodi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Umeshawahi kusikia bankruptcy act? Unajua pia unachotakiwa kuwa umekifanya ili shauri lako lipokelewe mahakama hiyo ya kodi? Unajua leo hii kuna mashauri mangapi ya kodi ambayo hayajaamuriwa?
 
Watanzania lipeni kodi acheni ujanja ujanja.
Waajiriwa wanalipa kodi kubwa sana tena wapende wasipende na wakija kwenye biashara zenu wanawalipia tena kodi ila ninyi baadhi ya wafanya biashara mnalaumu huku mkijua mnavyoutumia mwanya wowote unaojitokeza.
Imefika wakati sasa kila mtu awajibike kwa maendeleo ya taifa hili na si kuwaachia wakulima wa korosho na kahawa pekee

Ni nani anaelalamika kulipa kodi?
 
Back
Top Bottom