Sasa ni rasmi: Serikali Imeishiwa

Sasa ni rasmi: Serikali Imeishiwa

Sorry for that.. nilikereka maana nilipataga ishu kama hiyo afu unaonekana mla rushwa. Kazi lawama haziishi kwakuwa hatujazoea kulipa kodi kwa hiyari. Makadirio ya kodi huwa fair kulingana na muktadha husika. Haonewi mtu wala serikali haikosi kodi yake. TUPENDE NCHI YETU. SAMAHANI KWA KUTUMIA LUGHA KALI NA YENYE KUUDHI. MNIWIE RADHI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hosp. Ya Kanda inajengwa chato,oyeeeeeer

dodge
 
Akifunga yeye wengine watafungua. Afunge tu.
Am sorry; but you have written here like an idiot. Mtu ana tax clearance kwa miaka yote hiyo utasemaje kuwa hakuwa analipa kodi? Acheni upumbavu wenu; nchi imeshawashinda.
Simple; nimemshauri mteja afunge kampuni. Mtamfanya nini sasa? Hata provisional tax yake (na huwa analipa minimum ya 15m) hatalipa akifunga biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajieleza vizuri tu ila hili neno "mnalo hilo" ulilotumia limekaa kidem dem sana. Achana nalo kama wewe ni mwanaume
Acha kulinganisha kuku na mbuzi. Mkulima alikuwa anadai, kwani angelipwa (hata kama ni pesa pungufu na akatoa certificate of debt liquidation) angewezaje kudai tena?
Hapa tunaongelea mtu ambae amekuwa analipa kodi na anapewa tax clearance (huku akiwa amefanyiwa tax audits kwa miaka yote ya nyuma); inakuwaje leo udai alikuwa anakwepa kulipa kodi?

Mnalo hilo. Na ukweli ni kuwa hata ambao walikuwa kweli wanakwepa kulipa kodi (na kwa kuwa walipewa mwanya kisheria) hata mkiwadai leo hii HAWANA CHA KUWALIPA.
What are you going to do, kill them?
This government is pathetic.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwe
Nonsense..... Kwann Watanzania hatupendi kulipa kodi? Afu ni lini TRA walitunga sheria za kodi? Wakulaumiwa ni BUNGE wao hutunga then TRA hufata. Tuache lawaza bhana watu hatulali kukusanya pesa ili mpate hizo barabara na shule lakini kuna kundi la watu huona kama hakuna kifanyikacho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwez kullipa Kodi voluntarily, never, serikali lazma iongeze ukali kwenye hilo. Hata messi wa Barcelona anakweoa seuze mtnz
 
Hao walikwepa kodi wakati huo ndo wanaotufanya tunateseka sasa. Walilkula bata wapendavyo. Sasa warudishe vyetu walivuotudhulumu.
Anaekumbuka story ya mobite kisha Buzz kisha Tigo walvyokwepa kodi kwa kudai kampuni inapata hasara hivyo inauzwa kumbe ni ukwepaji kodi tu. Watanzania tumepigwa sana, turudishe walivyotuibia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Huyu ndiye mtanzania. Hana uhakika wala hajui kama kulikwepwa kodi. Furaha yake ni pale mwingine anaponyonyolewa bila kujali sababu.

Wenyewe maumivu kwa wengine, kwao hayawahusu. Ndiyo maana kupigania haki na mtanzania ni shughuli pevu usipoangalia utabaki peke yako.

Wanaendekeza sana - mkuki kwa nguruwe.
 
Nonsense..... Kwann Watanzania hatupendi kulipa kodi? Afu ni lini TRA walitunga sheria za kodi? Wakulaumiwa ni BUNGE wao hutunga then TRA hufata. Tuache lawaza bhana watu hatulali kukusanya pesa ili mpate hizo barabara na shule lakini kuna kundi la watu huona kama hakuna kifanyikacho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee! Hadi leo unaamini Bunge huwa linatunga sheria? Utakuwa umefundishwa vibaya shuleni/chuoni. Kazi ya drafting ya sheria pamoja na consultations ya wadau hufanywa na user department wakiongozwa na ofisi ya AG. Kwa kifupi sheria hutungwa na AG na Bunge kazi yake ni either kuendorse (kupitisha) au kukataa kama kuna mapungufu flaniflani kwa kuishauri ofisi ya AG ifanye marekebisho ABC.
Ndiyo maana kuna wakati miswada ya ajabuajabu zilizowasilishwa bungeni na AG zinapitishwa na Bunge kwa ushawishi wa wingi wa wabunge wa chama tawala so long hiyo sheria aidha ina manufaa makubwa kwa viongozi wa serikali au kwa chama tawala na serikali yake. Kwa kifupi Bunge ni muhuri tuu wa kupitisha sheria ili Rais atie sahihi na kuwa sheria kamili.

Katiba mpya ilishindikana Bungeni kwa sababu haikuwa na maslahi kwa chama tawala na serikali yake lakini drafting ya ile Katiba mpya ilitungwa na tume maalum iliyokuwa chini ya Jaji Warioba. Kwa hiyo hata sheria ya kodi haikutungwa na bunge bali wizara ya fedha wakiongozwa na AG. Bunge ikafanya kuendorse tuu ili TRA waweze kuitekeleza sheria hiyo.
 
Umekaririshwa hiyo sentensi. Hata maana yake hujui isipokuwa unai-retort kama kasuku.
Jiandae kukosa mshahara wako hivi karibuni.
Mimi siyo mtu wa mshahara, tafadhari acha kubwbwaja. Mishahara watu watalipwa na nchi haijafilisika. Uliyefilisika akili na fedha ni wewe siyo mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndio hujui kitu ni nyumbu tu. Unakuja hapa na uzi wa kutishia serikali . unaijua akiba ya serikali wewe au unajisemea tu. Ninyi ndio mlizoea kukwepa kodi, siku hizi mmebanwa kila siku kulia lia mitandaoni.
Wewe ni wa kuhurumia. Siamini hata kama unajua leo ni siku gani. You are a waste of space.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sishangai deni kuwa la siku nyingi, hoja ipo kwenye ukweli kuwa haiwezekani "deni" ambalo halijawahi kudaiwa lije kudaiwa miaka 14 baadae. Mdai alikuwa wapi kulidai siku zote hizo?
Teteeni mtakavyoweza, Ila ukweli ni kuwa jiwe mambo yanamuendea kombo.

Mambo yanabadilika mzee, kama mashemeji zake ndio walikuwa TRA na wakamuonea soo kumdai sasa wameingia majirani, watamdai hadi senti ya mwisho.
Yeye kama ana tax clearance si apeleke hizo certificate wazikague mzee, shida iko wapi? Numbers dont lie!
Usimshauri kufunga kampuni, huo ni wendawazimu, afterall kama yuko sawasawa kwenye mahesabu yake kila kitu kitajiweka sawa. Ukiona mtu anaruka ruka na kuleta visingizio kibao ujue hapo kuna kanjanja.
Nakushauri kama wewe ni mtu wake wa karibu mwambie basi akupe hata hizo documnts zake uziangalie, i bet utakuta kasoro, trust me and work on that bro/miss!
 
Nonsense..... Kwann Watanzania hatupendi kulipa kodi? Afu ni lini TRA walitunga sheria za kodi? Wakulaumiwa ni BUNGE wao hutunga then TRA hufata. Tuache lawaza bhana watu hatulali kukusanya pesa ili mpate hizo barabara na shule lakini kuna kundi la watu huona kama hakuna kifanyikacho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti toka 2006? What? TRA walikuwa wapi miaka yote hiyo? Huo Ni uhuni.Miaka 14 iliyopita unadai Leo?
 
Hivi bunge ndiyo hutunga sheria ?
Naomba kueleweshwa tafadhali.

I doubt kuwa unajua public entities zinafanyaje kazi nchi hii. Unajua kisheria limit ya kudai (assuming kweli kuna deni la kudaiwa) ni miaka mingapi? Unajua limit ya kuweka rekodi?
 
I doubt kuwa unajua public entities zinafanyaje kazi nchi hii. Unajua kisheria limit ya kudai (assuming kweli kuna deni la kudaiwa) ni miaka mingapi? Unajua limit ya kuweka rekodi?

Hahhaaaa dah mzee unajua unachokiongea kweli au unatafuta majibu aisee??
Ingekuwa kuna limit ya madeni, walahi JPM asingebeba mzigo wa tangia enzi za mwalimu, Mzee Ruksa na Bw. Ben achilia mbali JK...
Deni halifi baba na hata kurithi linarithi, au hujaona mtu anakopa benki kaweka nyumba/kiwanja rehani, akifa hata kama mali ilishaenda kwa watoto wenye chao wakija wanaibeba??
Dawa ya deni ni kulipa tuuu, labda mdeni wako akuonee huruma na kukusamehe ndio linaisha
 
Eti toka 2006? What? TRA walikuwa wapi miaka yote hiyo? Huo Ni uhuni.Miaka 14 iliyopita unadai Leo?

Yehodaya, wazee wa East African community mpaka leo wanadai chao, ni miaka mingapi imepita unajua, au nao ni wahuni? Kwamba walikuwa wapi kudai?
Tuwe tunafikiri kabla ya kuongea jamani angalau hata kwa asilimia sifuri nukta moja
 
Unafanya siasa kwa mgongo wa mambo ya kitaalam. Kama ana tax clearence kuna taratibu za kureject madai ya TRA
 
Nonsense..... Kwann Watanzania hatupendi kulipa kodi? Afu ni lini TRA walitunga sheria za kodi? Wakulaumiwa ni BUNGE wao hutunga then TRA hufata. Tuache lawaza bhana watu hatulali kukusanya pesa ili mpate hizo barabara na shule lakini kuna kundi la watu huona kama hakuna kifanyikacho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mke wangu juzi alipigiwa simu toka TRA akaambiwa anadaiwa akamuuliza deni la mwezi gani, akaambiwa unadaiwa tu akakata simu, baadae akapigiwa akaambiwa sikuangalia vizuri haudaiwi, akakata simu.
Dawasa wananitumia bili ya maji na onyo la opatesheni wanakuja kukata maji japo sins deni la nyuma! Mwezi wa kumi na mbili nililipa mbili nikajulishwa malipo yamepokelewa sina deni, baada ya siku mbili wakaniletea notisi ninadaiwa bili ya mwezi wa kumi na mbili haioneshi usomaji mita ILS ni deni tu na kontro namba!
Jiji wanakusanya kodi ya pango kwenye masoko bila kontro namba wala notisi ya kudaiwa mambo ni vuuuup papo kwa papo na si mwisho wa mwezi! Tumebaki tunajiuliza nini kimetokea?
 
Serikali kupitia TRA wanawapa wafanyabiashara tax demand notes za miaka ya nyuma mno. Nimeona kwa macho yangu mtu "anadaiwa" kodi (na kuongezewa riba na adhabu juu) kuanzia alipofungua kampuni 2006.

Nchi hii inaelekea kubaya zaidi ya Zimbabwe ya Mugabe.
Kwahiyo kwako kulipa kodi ni kosa.....?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nonsense..... Kwann Watanzania hatupendi kulipa kodi? Afu ni lini TRA walitunga sheria za kodi? Wakulaumiwa ni BUNGE wao hutunga then TRA hufata. Tuache lawaza bhana watu hatulali kukusanya pesa ili mpate hizo barabara na shule lakini kuna kundi la watu huona kama hakuna kifanyikacho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nawaambia watu kila siku tazameni aina ya wabunge mnaopeleka pale mjengoni, wale ndio wanaopitisha sheria zinazokuja kutumaliza sisi....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom