Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,018
Aisee..!! Dawa ya deni kulipa, ni kweli.... hayo maneno yaseme huku ukiwaza..Sasa Kama hawakulipa shida iko wapi. Dawa ya Deni kulipa tu hakuna kingine. Nilifikiri labda wamebambikiwa hizo Kodi.
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Walimu ya madeni yao yamelipwa? Au uhakiki unaendelea FOREVER..??
2. Wazee wa iliyokuwa EAST AFRICA wamelipwa..???
3. Yule mkulima wa kukamata ndege ameshalipwa..??
Etc