DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 8,610
- 17,837
Una miaka Mingapi??Ngoja tuone unachobisha nini maana mwaka wa tatu sasa bado magufuli anaongoza taifa kwa kauli na hotuba zake. Magufuli haters kina kipara bado wanapambana nae huku wakiabika tu mbele ya umma wa wananchi.
Nyerere Alipofariki Bado hotuba zake ziliongoza taifa mpaka miaka ya 2010s ndo walianza kufuata sheria badala ya hotuba za mwalimu..
Nyererw aliendelea kuishi kwa wananchi..
nakumbuka mwaka 2000 taifa walitanganza kupandisha Soda kutoka Tsh 150 mpaka Tsh 250 wakasema Hiyo Tsh 100 ni kwa ajili ya Rambirambi au kumbukumbu ya mwalimu..
So Nyerere watu waliamini hajafa na kuna wengine mpaka Leo wanaamini hajafa