ProcrastinatorInChief
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 13,003
- 29,462
Vipi kuhusu Mwinyi aliyekuta nchi imekufa kabisa???Akili zako ni ndogo sana .... HAKUNA KAMA JPM ALIKUTA NCHI IMECHAFUKA KIFISADI ...MFUMO MZIMA WA SERIKALI ULIKUWA CHINI YA RAIA FEKI NA MAFISADI..TOFAUTI NA NYERERE ...NYERERE KAPEWA NCHI IKIWA SAFI SANA KWENYE NYOYO ZA WATU.
Mkuu Vipi kuhusu Sasa hivi na kipindi Magufuli anapokea nchi..?
Kupi kuna ufisadi mwingi