Sasa ni kulala

Sasa ni kulala

Status
Not open for further replies.
Lara 1 make jitahidi iwe saa tano kweli manake ukichelewa nahisi ntapitwa lol
 
No mamito...nina ishu yangu binafsi na huyu bibie ndo nlikuwa namkumbushia kama faili langu bado liko mezani kwake

Ndio ujiandae lol maana hiloo li mama lijitu zimaa ovyooo limeona halina soko umu likaamua kuchafulia watuuu
 
Nitaupitia huo uzi nikitoka Parokiani.
lara 1 acha maneno yako ya shombo na ya Kiswahili la sivyo siku ya leo nitai-Dedicate kwako.

Hahaaaa we ndio huyo mama mtu mzima nini maana nasikia ana id mia isije ukawa umekuja kivingine
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo wewe una "soko" ndo maana ukatiwa mimba?

Soko langu lipo kwa bwanaangu na haliwez kua jf kwan sipo humu kwaajil ya kuuza papuchi. ........mie tumboo na mimba Lala1 nae ana mimba makubwaaa kichambooo narudia tena iloo jitu zimaa maviiii tena leo ngoja niandae ma verse ili ban ikinipitia inipitie vizuri......mtu mzima kaumbukaaaa kila mtu kjua kua liongooo kama ye kajauza k yake humuu anazan wote tuna shida na mabwana zake wa umuuu tena kama kaishiwa ajee nmgawie maaana na mabwana wengi adi semitrela hawatoshi
 
Last edited by a moderator:
Af mi nashangaa....hivi mwanamke mwenye k na uterus kuwa na mimba ni habari ya kuuzia gazeti? Mbona mi sioni kama ni habari hiyo?
 
Af mi nashangaa....hivi mwanamke mwenye k na uterus kuwa na mimba ni habari ya kuuzia gazeti? Mbona mi sioni kama ni habari hiyo?

Bora umenisaidia mpenzi maana kwa nijuavyo sifa ya mwanamke kubwa ni mimba na ndio maana na lenyewe likazaliwaa
 
Bora umenisaidia mpenzi maana kwa nijuavyo sifa ya mwanamke kubwa ni mimba na ndio maana na lenyewe likazaliwaa

Hahaaaa kama hiyo ni sifa mbona mmempanikia mama mtu mzima......

Halafu si yuko bed rest ataweza kuja kweli leo
 
Hahaaaa kama hiyo ni sifa mbona mmempanikia mama mtu mzima......

Halafu si yuko bed rest ataweza kuja kweli leo

Wala hatuja mpanikia tatizo limbea lile kahabaaaa kani pm kunichochea tena kitu alichoniulza kwa pm ni tofaut kumjibu tu kumbe kaenda ku pm watu na kuwaambia et kaongea na mm nmekubar mimba ya zinc et akani pima akakuta na mimba kwel ...... nna mtoto na sina mbele wala nyuma....walah leo atasema mbele yangu ipoje na nyuma yangu imekaaje
 
Hahaaaaa eti ulimfata kuomba ushauri naye bila hiyana akakupa ushauri, mshauri akaamua kukupima kabisa kumbe unayo imenasiamo lo

Alikupima kwa kutumia kipimo gani vile....
 
Hahaaaaa eti ulimfata kuomba ushauri naye bila hiyana akakupa ushauri, mshauri akaamua kukupima kabisa kumbe unayo imenasiamo lo

Alikupima kwa kutumia kipimo gani vile....

Hahaaaaa na hisi kile kipimio cha buku na jero kinapatikana duka la dawa....... jaman icho kipimio kibokoo kimeweza kumpima mimba mtu kwa pm
 
Noooo! NINA SILAHA ZA KIVITA TOKA KWA BI PAZI CHOTARA WA KIMAKONDE NA KIZARAMO! YAANI SILAHA ZA KINUCLEAR NEVER SEEN BEFORE! Atajutraaaaaa kunifahamu!

Afu mnaojifanya baba ushauri kesho msitie miguu kwenue ule uzi maana nannyie nitawafanya vibayaaaa mpaka mtashangaaa! UMBEA TUUU, MNACHOSHAURI NINI WAKATI KILA UJINGA UKIWEKWA MNASOMAAA NA KU COMMENT? Mngekuwa na maana si mngepotezea? Yaani kesho mkae mbali!

ACHENI TUJICHORESHE KINACHO WAWASHA NINI, WAKANYENI WAKE ZENU TANGIA LINI TUKAWAHUSU! Yaani kesho mtu alete fyoko fyoko mmmmmmmh!

Saa 5 ikifika nistue.
Sijacheza kigoma cha Uruguwai siku nyingi.
 
Hahaaaaa eti ulimfata kuomba ushauri naye bila hiyana akakupa ushauri, mshauri akaamua kukupima kabisa kumbe unayo imenasiamo lo

Alikupima kwa kutumia kipimo gani vile....

Ole saa 5 ifike usinistue, utanisimulia yote wewe
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom