Sasa ni kulala

Sasa ni kulala

Status
Not open for further replies.

Aurora

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2014
Posts
7,308
Reaction score
5,276
Duu naona umeme umekatika jf na movie ya PART 2 imeishia hapo,mlale salama bandugu
 
WANA MLINDA MUHUSIKAAA! Ndo mjiulize huyo MM kwanini alindwe kiasi hiko! KESHO SAA 5 ASUBUHI NDO FAINALI YAKE! Msikoseee! Tunampelekea mashujaaa band, mkodobwe, vangaa, kigoma cha urugwa, na keki ya msutoooo! Kamanda wangu Bi Pazi atakuwepo kunipa makonzi yalio enda shulee nishamnunulia ugoroooo wa kutoshaaa! SAA 5 ASUBUHI! Nina ID mpyaaaa kwa kazi hio moja tuuu!
 
kubwa la majangili upo?
 
Ukanikaushia bibie,
WANA MLINDA MUHUSIKAAA! Ndo mjiulize huyo MM kwanini alindwe kiasi hiko! KESHO SAA 5 ASUBUHI NDO FAINALI YAKE! Msikoseee! Tunampelekea mashujaaa band, mkodobwe, vangaa, kigoma cha urugwa, na keki ya msutoooo! Kamanda wangu Bi Pazi atakuwepo kunipa makonzi yalio enda shulee nishamnunulia ugoroooo wa kutoshaaa! SAA 5 ASUBUHI! Nina ID mpyaaaa kwa kazi hio moja tuuu!
 
Afadhali wameufunga maana nahisi ningekesha
 
Halafu huyu mfungua uzi mfukunyuku hatari...kajua watu watahamia humu...lol....
 
WANA MLINDA MUHUSIKAAA! Ndo mjiulize huyo MM kwanini alindwe kiasi hiko! KESHO SAA 5 ASUBUHI NDO FAINALI YAKE! Msikoseee! Tunampelekea mashujaaa band, mkodobwe, vangaa, kigoma cha urugwa, na keki ya msutoooo! Kamanda wangu Bi Pazi atakuwepo kunipa makonzi yalio enda shulee nishamnunulia ugoroooo wa kutoshaaa! SAA 5 ASUBUHI! Nina ID mpyaaaa kwa kazi hio moja tuuu!
ID mpya ya nini tumia hii bhana,hakikisha unaweka mambo hadharani A to Z ili uzi ukifungwa tuwe tumeshiba tunanawa mikono tyuuuuuuu:third::second::A S crown-1:
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom