TUMBOO
JF-Expert Member
- Jun 27, 2014
- 3,877
- 2,069
Noooo! NINA SILAHA ZA KIVITA TOKA KWA BI PAZI CHOTARA WA KIMAKONDE NA KIZARAMO! YAANI SILAHA ZA KINUCLEAR NEVER SEEN BEFORE! Atajutraaaaaa kunifahamu!
Afu mnaojifanya baba ushauri kesho msitie miguu kwenue ule uzi maana nannyie nitawafanya vibayaaaa mpaka mtashangaaa! UMBEA TUUU, MNACHOSHAURI NINI WAKATI KILA UJINGA UKIWEKWA MNASOMAAA NA KU COMMENT? Mngekuwa na maana si mngepotezea? Yaani kesho mkae mbali!
ACHENI TUJICHORESHE KINACHO WAWASHA NINI, WAKANYENI WAKE ZENU TANGIA LINI TUKAWAHUSU! Yaani kesho mtu alete fyoko fyoko mmmmmmmh!
Hahaaaaaaaa halooooooo tutanyoooshaaa watu na kuna jitu moja iv kijanamtanashati na hamu nae sanaa uyuu kila nkimuita naona anasoma kimyakimya
Last edited by a moderator: