The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,478
- 3,093
TUTAWAKUMBUKA DAIMA
MLALE SALAMA MASHUJAA WA TAIFA🫡🇹🇿
Hii picha ilibeba hisia nyingi sana zinazoumiza mpaka leo nimejitahidi kukaa kimya moyo umeishia kububujikwa na machozi Rest in Paradise makamanda wote mlioamua kuipambania nchi.
Moja kati ya matukio hatarishi zaidi ya Serikali kwa walipa kodi wake tangia tupate uhuru cha ajabu viongozi wanataka tuisahau hii siku kana kwamba waliopoteza uhai walikuwa ni kuku na sio watanzania wenzetu .Anyway Karma is Real P alisema.