Sasa ni Kanda ya Ziwa na Kusini Basi

Kule mashariki tulivyo wanyenyekevu tunasubiri kuona sura ya mgombea wakati wa campaign, tukipewa khanga, vitenge, vilemba, kofia na t-shirt tunapiga makofi wa nguvu zote.
Wapi mkuu Tanga?
 
fanyeni kazi acheni kulalamika kila wakati!kila bibilia na enzi zake,ukitaka kuja chato na ww njoo au unasubili uwanja wetu ukamilike upande boberdier?yaani hata hivyo ametukomoa tuache kupanda nyungo zetu?
 
74771e74e6f3cbca1b2f9b5ca2a7d0fd.jpg
 
Salaam Wakuu.
Takribani ni Mwaka mmoja toka Serikali ya Awamu ya 5 ishike hatamu naona Trip za Wakubwa zaidi kwanzia PM zaidi ya 90% ni Kusini, yaani Lindi na Mtwara, mathalani PM baada ya Kutoka tu Arusha Juma lililopita kapitiliza Mtwara na leo hii Ruangwa ambako ndiyo jimbo lake, ni zaidi ya mara 3 anashinda huko wakati kuna Mikoa hajakanyaga Kusikiliza Kero za Wananchi wao wenyewe maana ndiyo inatia Uzito. Ikumbukwe ni Waziri Mkuu na si Mbunge wa kawaida.

Naye Mkulu toka State House ndiyo Kabisaaa, ameenda Chato naye si Chini ya Mara 3 na leo yupo huko kwa kisingizio eti kaenda Msibani.Mbona Bukoba walikufa Watanzania na wengi zaidi na jirani na Chato ila hajawahi Kanyaga?

Kama wewe si wa Kusini ama Kanda ya Ziwa hususani Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Geita nje na Dar es Salaam utasubiri saana.Kumbuka Ukweli hisia huja zaidi baada ya Kujionea.

Aliyoyakataza Muasisi wa Taifa hili la Tanznaia Hayati; Mwl. JK Nyerere yaani, Ukabila, Ukanda na Udini yanarejea kwa Kasi ya Ajabu saana, kwa Pamoja wapenda Tanzania tuyapinge kwa nguvu zetu zote.
Mbona mzee wa msoga alikuwa akishinda kijijini kwao mara kibao wala hamkulalamika au kwa sababu msoga ni karibu na Dar? Tuwe fair bwana tuache chuki!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom