Sasa najiunga kuwa mwanachama rasmi wa Chadema

Sasa najiunga kuwa mwanachama rasmi wa Chadema

Kamanda.. Huyu Matola yeye aende chadema sina tatizo nae, najua Slaa anatafuta pumba za kulisha huu msukule mpya.
Teh teh teh teh Kwi Kwi Kwi Umeipasua mbavu na maneno yako, Kwi Kwi Kwi

Kumbe Matola ni msukule.
 
Last edited by a moderator:
Nitakujibu kwa kifupi sana maswali yako kwa sababu mengi hayana msingi.

Moja, siwezi kukutajia kabila langu kwa sababu sikuja hapa JF kutambika.

Ningependa nijumuishe hoja zako zote za kijinga kwa jibu hili lifuatalo,

Hii thread nimetangaza tu kuwa mwanachama rasmi wa Chadema kwa sababu sikupenda kuwa mwanachama lakini kwa haki kabisa mimi huwezi kunifananisha na Shitambala wala na Lema mbunge wa Arusha.

Mimi nimeshiriki kwenye harakati za kuijenga Chadema tangu Lema akiwa TLP na wengi mnaowaona leo ni makamanda either walikuwa shule hawaijui siasa na wengine walikumbwa na upepo wa NCCR Mageuzi ya Mrema.

Kuna watu wengine ukiwemo wewe pia labda hujui hata bendera ya Chadema ya leo haikuwa hii bali ni wazo la Mbowe kuibadili na likakubaliwa pamoja na vazi la kombati ni ubunifu wa Mbowe pia.

Sasa huwa sipendi kujadili siasa nyepepesi na mtu anayetumiwa na hapa JF ni sehemu ya ajira yake kupost ujinga kama wako.

Am too old for this gutter politics.
Haujajibu swali unaulizwa msingi wa kwanza wa Chadema ipoundwa, unaulizwa kikao cha kwanza kilifanyika wapi unaweza ukapata kumbukumbu ya minits?

Unakwenda kutoa maelezo ya magwanda ya Chadema.

Msukule msukule tu.
 
Umeweka kambi huku! Thread yako inadoda kule!

Matola unachekesha mkuu, yani wewe umekuja kupunguza speed yangu au?? Haya bana, kwa hiyo umehamia chadema ulikuwa chamaa gan?
 
Teh teh teh teh Kwi Kwi Kwi Umeipasua mbavu na maneno yako, Kwi Kwi Kwi

Kumbe Matola ni msukule.

Ritz uyu kamanda Matola kapanic kusikia ning'atuka chadema. Ila nafurah kw sababu anajua chadema imepoteza nani.
 
Last edited by a moderator:
TANGAZO LA KIFO

Jina la marehemu: Chadema mitandaoni
Amefariki: Tarehe: 2.Nov.2013
Amezikwa:Tarehe: 7.Nov.2013
Chanzo cha kifo: G.J.Lema,Ben Saanane,Yericko Nyerere na misukule shooting stars
Wasifu wa marehemu: Ni vibaya kumsema marehemu lakini hakuwa na tabia njema mbele ya jamii
Marehemu ameacha: misukule,uongozi dhaifu na mtoto wa nje aliejitokeza leo anaitwa MATOLA
NOTE: Sababu za kuchelewa kuzikwa alikuwa anasubiriwa mwanawe kipenzi Sixgate kutoka ngambo.

.........................................................R.I.P MAGWANDA...............................................................................

Teh teh teh hivi rambirambi iliyopatikana imetangazwa kiasi gani? Usijesikia kesho Ben Saanane, independent spy nao wakijiunga rasmi na chadema.
 
Last edited by a moderator:
Uwiiiiiiiiiiiii
Wakola waitu
Wabheja sana.

Habari ziwafikie Rose Kamili na Josephine Mshumbushi na Mahawala wa Dr. Slaa wote tangu akiwa kasisi, Mbunge huko Karatu, Hawala aliyekamatwa naye Hotel 56 Dododma na vimodal wote waliopitiwa kwa bahati mbaya au makusudi popote pale walipo.

Bila kumsahau Rozi kamili na watoto wake watatu waliopatikana kwa njia ya uzinzi, junior, Linus na kale kadada kakubwa kanakomendewa na Ben Saanane.
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni Jihadist siwezi kukushangaa kuungana na Mujahedeen wenzako kina Ritz kumlinda Allah asiyeweza kujilinda.

Wewe kwangu ni takataka tu na nimekujibu tu ili kuweka kumbukumbu sawa huna tofauti .....

Kwa matusi haya dhidi ya waislamu na uislamu unanipa maswali mengi, je unajiunga chadema ukapambane na waislamu au ccm!? Naona mawazo haya mpango wako ni kuwa na chama cha kanisa pure. Mohamedi Mtoi, KIBANGA ampiga mkolon mumeona kamanda anachosema? Halafu ule ubunge unaenda kuomba wakristo pekee au na waislamu hawahawa unaowatukania dini yao?
 
Last edited by a moderator:
Kazi sio kuwatoa magamba bali kuisafisha Chadema kuondokana na wapuuzi kama Zitto na wappumbavu wake na kusafisha kusiwe na Majihadist kama THE BIG SHOW.

Chadema are sowing seeds of their own self destruction,You are among those seeds,I feel sorry for this party but i guess you can't have both ways!Now Chadema are recruiting a bunch of clueless fighters who are fighting unknown enemy (a wrong target),They will fire all their bullets to a wrong target leaving a real enemy well and alive.What a waste of energy and time!!!
 
Last edited by a moderator:
JF siyo mali ya Chadema nenda Ufipa katangaze huu upuuzi wako kama unajiunga sisi tufanyaje kauzu kama wewe kweli kuna mtu atahangaika na wewe, kwanza unakaa kwa shemeji yako Ukonga.

Cc: chama.

Mkuu Ritz
Kumbe mtu mwenyewe ni huyo chizi! Huyo hana maana yoyote hajielewi hajitambui mzuzuraji tu hapo mjini kiazi kibovu hata kwa chipsi hakifai; sasa anamtangazia nani humu JF wote tunajua yeye ni mganga njaa anahemea kwa shemeji; hana jipya akili za kisonono tu yaani jamaa anajitangaza sana humu JF ili Kamuchumu wamuone wa maana; yaani jamaa ni kituko kitupu!
 
Last edited by a moderator:
Kwa matusi haya dhidi ya waislamu na uislamu unanipa maswali mengi, je unajiunga chadema ukapambane na waislamu au ccm!? Naona mawazo haya mpango wako ni kuwa na chama cha kanisa pure. Mohamedi Mtoi, KIBANGA ampiga mkolon mumeona kamanda anachosema? Halafu ule ubunge unaenda kuomba wakristo pekee au na waislamu hawahawa unaowatukania dini yao?

Sikujuwa kwamba ugaidi ndio dini ya Waislamu. Hivi kumsema Gaidi Osama ndio kutukana Waislamu? Mwehu wewe.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ritz
Kumbe mtu mwenyewe ni huyo chizi! Huyo hana maana yoyote hajielewi hajitambui mzuzuraji tu hapo mjini kiazi kibovu hata kwa chipsi hakifai; sasa anamtangazia nani humu JF wote tunajua yeye ni mganga njaa anahemea kwa shemeji; hana jipya akili za kisonono tu yaani jamaa anajitangaza sana humu JF ili Kamuchumu wamuone wa maana; yaani jamaa ni kituko kitupu!
Mkuu chama.

JF kuna vituko sana huyu naye kweli wakujitanganza humu JF na watu wakamuelewa msukule wa Ufipa.
 
Last edited by a moderator:
Allah kaingiaje kumbe Chadema hakuna Waislam, kuna Wakirsto tu, pambana na sisi usipambane na Waislam

Sasa wewe unakaa kwa shemeji yako Ukonga halafu unakuja kuongea mbele ya wanaume.

Wewe jiandae kuwa msukule wa Dr.Slaa na Mbowe.
naona una utani na chama maana yeye ndie alikuwa anaishi kwa shemeji yake Ukonga...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom