kuwa kichaa au punguani si lazima uokote makopo,wewe ni hamnazo,ccm mteleweka tu
Lema Production.
kuwa kichaa au punguani si lazima uokote makopo,wewe ni hamnazo,ccm mteleweka tu
Kutokana na hali hali halisi mimi kama Matola nimekuwa nikiunga mkono harakati za Chadema kisiasa.
Ila kwakuwa wametokea manyang'au wanaotaka kuzorotesha harakati za kuiondoa CCM madarakani bila kuwa wanachama wa vyama, sasa nadhani ni muda muhafaka wa mimi kuwa mwanachama wa Chadema na kuwashikisha adabu ng'ombe wote wanafifisha harakati za wapenda mabadiliko.
Nimefikia uamuzi huu kwa sababu tuko wengi ambao tumesapoti nabadiliko bila kuwa wanachama wa upinzani lakini ninachokiona sasa hakipaswi kufumbiwa macho.
We are going to destroy all traters na mapandikizi yote, na soon nitakuwa verified user hapa JF ili kumaanisha vita hii wajinga wote wanashindwa.
Chadema ni mpango wa Mungu hakuna mmpumbavu yoyote wa kuzima harakati hizi.
Cc; Ben Saanane Mungi Tumaini Makene
Uwiiiiiiiiiiiii
Wakola waitu
Wabheja sana.
Habari ziwafikie Rose Kamili na Josephine Mshumbushi na Mahawala wa Dr. Slaa wote tangu akiwa kasisi, Mbunge huko Karatu, Hawala aliyekamatwa naye Hotel 56 Dododma na vimodal wote waliopitiwa kwa bahati mbaya au makusudi popote pale walipo.
Huyo ni sixgates akitangaza kuihama Chadema jana.Ndugu wana JF, Juzi niliweka uzi hapa na nikatoa mda wa masaa 24 kwa Mh Mbowe na Dr.W.Slaa kusema neno juu ya hali ya siasa iliyokuwepo chadema...naonekana sina faida ndani ya CHADEMA, nimeng'oka rasmi kuanzia leo...
Huyo ni Ritz akimpongeza kwa uamuzi wake!
Huyu ni Matola akitangaza kujiunga rasmi na Chadema leo.Kutokana na hali hali halisi mimi kama Matola nimekuwa nikiunga mkono harakati za Chadema kisiasa... sasa nadhani ni muda muhafaka wa mimi kuwa mwanachama wa Chadema...
Cc; Ben Saanane Mungi Tumaini Makene
Huyu ni yule yule wa jana!JF siyo mali ya Chadema nenda Ufipa katangaze huu upuuzi wako kama unajiunga sisi tufanyaje kauzu kama wewe kweli kuna mtu atahangaika na wewe, kwanza unakaa kwa shemeji yako Ukonga.
Cc: chama.
Huyo ni salumu mitemandiyo ,nimejiondoa kwenye chama cha ubabaishaji ,viongozi wanabariki matusi kwa viongozi wenzao ...nilijiunga chadema mwaka 2010 nikiwa na matumaini makubwa lkn sasa mhhhh
Huyo tena ni Ritz yule yule...duh!Poleni sana kwa mateso uliyoyapata toka mwaka 2010 hata ivyo una roho ngumu, naona umegoma kuwa msukule.
CC: FaizaFoxy ZeMarcopolo
Lema Production.
We are going destroy all traters.
Kauzu kweli wewe ndiyo nini sasa umeandika au unamaanisha nini, andika kiswahili utaeleweka.
Teh teh teh
THE BIG SHOW
90/cent ya magamba ni waropokaji na hayana kitu kichwani ni kupanua madomo yao na kupga makofi for nonsense,ukiwauliza ccm imefanya nn wanakwambia mara oooh barabara....... Shame on you mbulura
Mkuu Matola,
Umepotea njia. Vijana werevu sasa hivi wameshashtukia kwamba Chadema ni mradi binafsi wa watu fulani. Ndio maana wapo wanaoweza kufanya chochote wanachotaka bila kuchukuliwa hatua lakini wengine wakikohoa tu wanakula kibano.
Fikiria kwa makini, unapotea njia...
Kutokana na hali hali halisi mimi kama Matola nimekuwa nikiunga mkono harakati za Chadema kisiasa.
Ila kwakuwa wametokea manyang'au wanaotaka kuzorotesha harakati za kuiondoa CCM madarakani bila kuwa wanachama wa vyama, sasa nadhani ni muda muhafaka wa mimi kuwa mwanachama wa Chadema na kuwashikisha adabu ng'ombe wote wanafifisha harakati za wapenda mabadiliko.
Nimefikia uamuzi huu kwa sababu tuko wengi ambao tumesapoti nabadiliko bila kuwa wanachama wa upinzani lakini ninachokiona sasa hakipaswi kufumbiwa macho.
We are going to destroy all traters na mapandikizi yote, na soon nitakuwa verified user hapa JF ili kumaanisha vita hii wajinga wote wanashindwa.
Chadema ni mpango wa Mungu hakuna mmpumbavu yoyote wa kuzima harakati hizi.
Cc; Ben Saanane Mungi Tumaini Makene
Huyo ni sixgates akitangaza kuihama Chadema jana.
Huyo ni Ritz akimpongeza kwa uamuzi wake!
Huyu ni Matola akitangaza kujiunga rasmi na Chadema leo.
Huyu ni yule yule wa jana!
Ndivyo hivyo na serikali yetu chini ya Kikwete inavyoendeshwa...Kaaazi kweli kweli!
Huyo ni salumu mitema
Huyo tena ni Ritz yule yule...duh!
Uwiiiiiiiiiiiii
Wakola waitu
Wabheja sana.
Habari ziwafikie Rose Kamili na Josephine Mshumbushi na Mahawala wa Dr. Slaa wote tangu akiwa kasisi, Mbunge huko Karatu, Hawala aliyekamatwa naye Hotel 56 Dododma na vimodal wote waliopitiwa kwa bahati mbaya au makusudi popote pale walipo.
Huyo ni sixgates akitangaza kuihama Chadema jana.
Huyo ni Ritz akimpongeza kwa uamuzi wake!
Huyu ni Matola akitangaza kujiunga rasmi na Chadema leo.
Huyu ni yule yule wa jana!
Ndivyo hivyo na serikali yetu chini ya Kikwete inavyoendeshwa...Kaaazi kweli kweli!
Huyo ni salumu mitema
Huyo tena ni Ritz yule yule...duh!
Allah kaingiaje kumbe Chadema hakuna Waislam, kuna Wakirsto tu, pambana na sisi usipambane na WaislamWewe ni Jihadist siwezi kukushangaa kuungana na Mujahedeen wenzako kina Ritz kumlinda Allah asiyeweza kujilinda.
Wewe kwangu ni takataka tu na nimekujibu tu ili kuweka kumbukumbu sawa huna tofauti na white widow, uliingia JF kwa gia fulani sasa true colour zako umeshindwa kuzificha.
Kizee chenu Mohammed Said anayewadanganya kuna mabikira 100 wanawasubiri mkishajiripuwa mtakuja kujuta, ila Mama zenu tutawajari wao wataamuwa wenyewe kutufikiria malipo ya fadhira zetu kwao.
Huyu Matola atashiba endapo tu atapatiwa mashudu ya alizeti
Jibu mswali haya na na mwisho uamue
1. Wewe ni kabila gani na unaishi wapi?
2. Unaamini katika "wengi waumie wachache wafaidike"?
3. Unajua msingi wa kwanza wa Chadema ilipoundwa? Kikao cha kwanza kilifanyika wapi na unaweza ukapata kumbukumbu ya minits hizo? hapana? ndio? kwanini?
4. Wewe unaweza ukawa na umuhimu kama aliokuwa nao Mwigamba au Shitambala?
5. Unakumbuka yaliyompata Chacha Wangwe kabla ya kifo chake? unayamini? ndio/hapana? kwanini?
6.Mabadiliko maana yake nini? na Demokrasia nini? unaijua dhana hii? Je, unaihusishaje na Chadema ya leo?