Mkuu Matola,
Umepotea njia. Vijana werevu sasa hivi wameshashtukia kwamba Chadema ni mradi binafsi wa watu fulani. Ndio maana wapo wanaoweza kufanya chochote wanachotaka bila kuchukuliwa hatua lakini wengine wakikohoa tu wanakula kibano.
#SIMPLY NI KAMA WEWE ULIVYONG'ANG'ANA NA ccm NI USHABIKI WA HOVYO ONA HATA KAKIBENDERA KAKO KA CCM KA MJUMBE KALIVYOCHANIKA NI CHAMA CHA HOVYO "EPUKANA NACHO"
mkoa gani mkuu nije niwasapoti ?
mkoa gani mkuu nije niwasapoti ?
Kila la kheri.....nia yako ya dhati inahitajika kwa mabadiliko ndani na nje ya chama.
Kazi sio kuwatoa magamba bali kuisafisha Chadema kuondokana na wapuuzi kama Zitto na wappumbavu wake na kusafisha kusiwe na Majihadist kama THE BIG SHOW.
Hata Sugu na Lema sasa hivi watatangaza kujiunga na Chadema.
Ukishaona muuza maandazi anajiuzia mwenyewe ujue vimeungua hivyo...
JF siyo mali ya Chadema nenda Ufipa katangaze huu upuuzi wako kama unajiunga sisi tufanyaje kauzu kama wewe kweli kuna mtu atahangaika na wewe, kwanza unakaa kwa shemeji yako Ukonga.
Cc: chama.
TANGAZO LA KIFOKutokana na hali hali halisi mimi kama Matola nimekuwa nikiunga mkono harakati za Chadema kisiasa.
Ila kwakuwa wametokea manyang'au wanaotaka kuzorotesha harakati za kuiondoa CCM madarakani bila kuwa wanachama wa vyama, sasa nadhani ni muda muhafaka wa mimi kuwa mwanachama wa Chadema na kuwashikisha adabu ng'ombe wote wanafifisha harakati za wapenda mabadiliko.
Nimefikia uamuzi huu kwa sababu tuko wengi ambao tumesapoti nabadiliko bila kuwa wanachama wa upinzani lakini ninachokiona sasa hakipaswi kufumbiwa macho.
We are going to destroy all traters na mapandikizi yote, na soon nitakuwa verified user hapa JF ili kumaanisha vita hii wajinga wote wanashindwa.
Chadema ni mpango wa Mungu hakuna mmpumbavu yoyote wa kuzima harakati hizi.
Cc; Ben Saanane Mungi Tumaini Makene
Teh teh teh! Huu msukule mbona siku nyingi tu huwa mateka wa Mbowe.Hata Sugu na Lema sasa hivi watatangaza kujiunga na Chadema.
Ukishaona muuza maandazi anajiuzia mwenyewe ujue vimeungua hivyo...
CCM yatosha
Kutokana na hali hali halisi mimi kama Matola nimekuwa nikiunga mkono harakati za Chadema kisiasa.
Ila kwakuwa wametokea manyang'au wanaotaka kuzorotesha harakati za kuiondoa CCM madarakani bila kuwa wanachama wa vyama, sasa nadhani ni muda muhafaka wa mimi kuwa mwanachama wa Chadema na kuwashikisha adabu ng'ombe wote wanafifisha harakati za wapenda mabadiliko.
Nimefikia uamuzi huu kwa sababu tuko wengi ambao tumesapoti nabadiliko bila kuwa wanachama wa upinzani lakini ninachokiona sasa hakipaswi kufumbiwa macho.
We are going to destroy all traters na mapandikizi yote, na soon nitakuwa verified user hapa JF ili kumaanisha vita hii wajinga wote wanashindwa.
Chadema ni mpango wa Mungu hakuna mmpumbavu yoyote wa kuzima harakati hizi.
Cc; Ben Saanane Mungi Tumaini Makene
We are going destroy all traters.Kutokana na hali hali halisi mimi kama Matola nimekuwa nikiunga mkono harakati za Chadema kisiasa.