Sasa najiunga kuwa mwanachama rasmi wa Chadema

JF siyo mali ya Chadema nenda Ufipa katangaze huu upuuzi wako kama unajiunga sisi tufanyaje kauzu kama wewe kweli kuna mtu atahangaika na wewe, kwanza unakaa kwa shemeji yako Ukonga.

Cc: chama.

Kama wewe huwezi kuhangaika na mimi ni nini kimekuwasha huko kwenye msunu wako mpaka ukaja kuchangia thread hii? Au huwezi kulipwa buku saba zako bila kujishongondoa hapa?
 
Last edited by a moderator:
Hata Sugu na Lema sasa hivi watatangaza kujiunga na Chadema.

Ukishaona muuza maandazi anajiuzia mwenyewe ujue vimeungua hivyo...

Kwi kwi kwi kwiiii, Mkuu Zemarcopolo mpaka mwaka huu utakapoisha JF tubaki wenyewe waungwana na itafikia hatua tutaomba friend match na group yeyote iwe facebook,chit chat ama mtandao wowote.
 
Kutokana na hali hali halisi mimi kama Matola nimekuwa nikiunga mkono harakati za Chadema kisiasa.

Ila kwakuwa wametokea manyang'au wanaotaka kuzorotesha harakati za kuiondoa CCM madarakani bila kuwa wanachama wa vyama, sasa nadhani ni muda muhafaka wa mimi kuwa mwanachama wa Chadema na kuwashikisha adabu ng'ombe wote wanafifisha harakati za wapenda mabadiliko.

Nimefikia uamuzi huu kwa sababu tuko wengi ambao tumesapoti nabadiliko bila kuwa wanachama wa upinzani lakini ninachokiona sasa hakipaswi kufumbiwa macho.

We are going to destroy all traters na mapandikizi yote, na soon nitakuwa verified user hapa JF ili kumaanisha vita hii wajinga wote wanashindwa.

Chadema ni mpango wa Mungu hakuna mmpumbavu yoyote wa kuzima harakati hizi.

Cc; Ben Saanane Mungi Tumaini Makene

Karibu
 
Last edited by a moderator:
TANGAZO LA KIFO

Jina la marehemu: Chadema mitandaoni
Amefariki: Tarehe: 2.Nov.2013
Amezikwa:Tarehe: 7.Nov.2013
Chanzo cha kifo: G.J.Lema,Ben Saanane,Yericko Nyerere na misukule shooting stars
Wasifu wa marehemu: Ni vibaya kumsema marehemu lakini hakuwa na tabia njema mbele ya jamii
Marehemu ameacha: misukule,uongozi dhaifu na mtoto wa nje aliejitokeza leo anaitwa MATOLA
NOTE: Sababu za kuchelewa kuzikwa alikuwa anasubiriwa mwanawe kipenzi Sixgate kutoka ngambo.

.........................................................R.I.P MAGWANDA...............................................................................
Mkuu Mingoi.

Utapasua mbavu zangu teh teh teh teh kwi kwi kwi kwi.

<Prev Next>
 
Last edited by a moderator:
Kama wewe huwezi kuhangaika na mimi ni nini kimekuwasha huko kwenye msunu wako mpaka ukaja kuchangia thread hii? Au huwezi kulipwa buku saba zako bila kujishongondoa hapa?
Matola Chadema ebu punguza munkali utavunja keyboard za watu (internet cafe) uzue majanga mbona Ritz yuko mbali kamanda
 
Page is loading..........msukule.
 
Jibu mswali haya na na mwisho uamue

1. Wewe ni kabila gani na unaishi wapi?

2. Unaamini katika "wengi waumie wachache wafaidike"?

3. Unajua msingi wa kwanza wa Chadema ilipoundwa? Kikao cha kwanza kilifanyika wapi na unaweza ukapata kumbukumbu ya minits hizo? hapana? ndio? kwanini?

4. Wewe unaweza ukawa na umuhimu kama aliokuwa nao Mwigamba au Shitambala?

5. Unakumbuka yaliyompata Chacha Wangwe kabla ya kifo chake? unayamini? ndio/hapana? kwanini?

6.Mabadiliko maana yake nini? na Demokrasia nini? unaijua dhana hii? Je, unaihusishaje na Chadema ya leo?
 
Matola Chadema ebu punguza munkali utavunja keyboard za watu (internet cafe) uzue majanga mbona Ritz yuko mbali kamanda
Sijui anakasirika nini wakati kaleta tangazo JF kama alikuwa ataki watu wachangie huu uzi angepeleka Ufipa.
 
Jibu mswali haya na na mwisho uamue

1. Wewe ni kabila gani na unaishi wapi?

2. Unaamini katika "wengi waumie wachache wafaidike"?

3. Unajua msingi wa kwanza wa Chadema ilipoundwa? Kikao cha kwanza kilifanyika wapi na unaweza ukapata kumbukumbu ya minits hizo? hapana? ndio? kwanini?

4. Wewe unaweza ukawa na umuhimu kama aliokuwa nao Mwigamba au Shitambala?

5. Unakumbuka yaliyompata Chacha Wangwe kabla ya kifo chake? unayamini? ndio/hapana? kwanini?

6.Mabadiliko maana yake nini? na Demokrasia nini? unaijua dhana hii? Je, unaihusishaje na Chadema ya leo?
Yeye mwenyewe kwanza hayuko sawa ataweza kujibu maswali kama haya.
 
Matola Chadema ebu punguza munkali utavunja keyboard za watu (internet cafe) uzue majanga mbona Ritz yuko mbali kamanda

Lol,

Tunakimbilia saa sitaza usiku kwa sasa kibongo bongo,usiku wote huu yupo internet cafe anavunja keyboard??

Kweli Matola kavurugwa sana,eti anasema na yeye anataka kuwa verified,,,!!!

Kwana hawa misukule saa nane na mwenzake yericko waliojiverify wana faida gani kwenye chama??Hopless kabisa
 
karibu kwenye ukombozi kamanda vp unapatikana wapi tukupe na card ya chama cha ukombozi tz viva chadema
 
TANGAZO LA KIFO

Jina la marehemu: Chadema mitandaoni
Amefariki: Tarehe: 2.Nov.2013
Amezikwa:Tarehe: 7.Nov.2013
Chanzo cha kifo: G.J.Lema,Ben Saanane,Yericko Nyerere na misukule shooting stars
Wasifu wa marehemu: Ni vibaya kumsema marehemu lakini hakuwa na tabia njema mbele ya jamii
Marehemu ameacha: misukule,uongozi dhaifu na mtoto wa nje aliejitokeza leo anaitwa MATOLA
NOTE: Sababu za kuchelewa kuzikwa alikuwa anasubiriwa mwanawe kipenzi Sixgate kutoka ngambo.

.........................................................R.I.P MAGWANDA...............................................................................

Uwiiiiiiiiiiiii
Wakola waitu
Wabheja sana.

Habari ziwafikie Rose Kamili na Josephine Mshumbushi na Mahawala wa Dr. Slaa wote tangu akiwa kasisi, Mbunge huko Karatu, Hawala aliyekamatwa naye Hotel 56 Dododma na vimodal wote waliopitiwa kwa bahati mbaya au makusudi popote pale walipo.
 
Matola Chadema ebu punguza munkali utavunja keyboard za watu (internet cafe) uzue majanga mbona Ritz yuko mbali kamanda

Teh! Teh! Teh! Teh!

Kelele zote hizi kumbe yupo internet cafe! Kweli Matola majanga.
 
Mkuu Matola,

Umepotea njia. Vijana werevu sasa hivi wameshashtukia kwamba Chadema ni mradi binafsi wa watu fulani. Ndio maana wapo wanaoweza kufanya chochote wanachotaka bila kuchukuliwa hatua lakini wengine wakikohoa tu wanakula kibano.

Fikiria kwa makini, unapotea njia...

kuwa kichaa au punguani si lazima uokote makopo,wewe ni hamnazo,ccm mteleweka tu
 
Mkuu Matola,

Umepotea njia. Vijana werevu sasa hivi wameshashtukia kwamba Chadema ni mradi binafsi wa watu fulani. Ndio maana wapo wanaoweza kufanya chochote wanachotaka bila kuchukuliwa hatua lakini wengine wakikohoa tu wanakula kibano.

Fikiria kwa makini, unapotea njia...

Mafisadi 11 na wezi wa EPA walikuwa Chadema? Acha kudanganya Watanzania.
 
Kutokana na hali hali halisi mimi kama Matola nimekuwa nikiunga mkono harakati za Chadema kisiasa.

Ila kwakuwa wametokea manyang'au wanaotaka kuzorotesha harakati za kuiondoa CCM madarakani bila kuwa wanachama wa vyama, sasa nadhani ni muda muhafaka wa mimi kuwa mwanachama wa Chadema na kuwashikisha adabu ng'ombe wote wanafifisha harakati za wapenda mabadiliko.

Nimefikia uamuzi huu kwa sababu tuko wengi ambao tumesapoti nabadiliko bila kuwa wanachama wa upinzani lakini ninachokiona sasa hakipaswi kufumbiwa macho.

We are going to destroy all traters na mapandikizi yote, na soon nitakuwa verified user hapa JF ili kumaanisha vita hii wajinga wote wanashindwa.

Chadema ni mpango wa Mungu hakuna mmpumbavu yoyote wa kuzima harakati hizi.

Cc; Ben Saanane Mungi Tumaini Makene

Mkuu mi mwenyewe naipenda Chadema sema naona kama inaanza kunitisha maana katiba ya chama tu wameshaichakachua Jamaa anataka kuendelea awamu ya tatu sasa akishika Dola si atakuwa kama Mseveni aisee?

Kwenye fedha nako utata,,ruzuku na michango nazo zinatafunwa au kukopeshana wakubwa.

Nieleweshe mkuu na mimi niwe Mwanachama badala ya kuwa shabiki.
 
Last edited by a moderator:
Jibu mswali haya na na mwisho uamue

1. Wewe ni kabila gani na unaishi wapi?

2. Unaamini katika "wengi waumie wachache wafaidike"?

3. Unajua msingi wa kwanza wa Chadema ilipoundwa? Kikao cha kwanza kilifanyika wapi na unaweza ukapata kumbukumbu ya minits hizo? hapana? ndio? kwanini?

4. Wewe unaweza ukawa na umuhimu kama aliokuwa nao Mwigamba au Shitambala?

5. Unakumbuka yaliyompata Chacha Wangwe kabla ya kifo chake? unayamini? ndio/hapana? kwanini?

6.Mabadiliko maana yake nini? na Demokrasia nini? unaijua dhana hii? Je, unaihusishaje na Chadema ya leo?
Mkuu Uchaguzi

Haya maswali kumuuliza huyu kauzu nikumuonea bure.

Msome vizuri dhumuni lake la kujiunga Chadema anataka kwenda kupambana na Ng'ombe sasa huyu mtu ana akili timamu kweli.

Hawa ndiyo misukule ya Lema.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom