Sasa najiunga kuwa mwanachama rasmi wa Chadema

Kutokana na hali hali halisi mimi kama Matola nimekuwa nikiunga mkono harakati za Chadema kisiasa.

Ila kwakuwa wametokea manyang'au wanaotaka kuzorotesha harakati za kuiondoa CCM madarakani bila kuwa wanachama wa vyama, sasa nadhani ni muda muhafaka wa mimi kuwa mwanachama wa Chadema na kuwashikisha adabu ng'ombe wote wanafifisha harakati za wapenda mabadiliko.

Nimefikia uamuzi huu kwa sababu tuko wengi ambao tumesapoti nabadiliko bila kuwa wanachama wa upinzani lakini ninachokiona sasa hakipaswi kufumbiwa macho.

We are going to destroy all traters na mapandikizi yote, na soon nitakuwa verified user hapa JF ili kumaanisha vita hii wajinga wote wanashindwa.

Chadema ni mpango wa Mungu hakuna mmpumbavu yoyote wa kuzima harakati hizi.

Cc; Ben Saanane Mungi Tumaini Makene

acha bange mkuu,kama chadema ni mpango wa mungu basi mungu wako huyo atakuwa taahira,vinginevyo angemtaka slaa aache uzinzi kwanza.
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana haujachelewa kamanda mara hii tunaanza na wasaliti kama ZK huku tukiendeleza M4C kwa kasi ya moto wa petroli ...

Tunajua tayari dogo ameanza vita ya waziwazi dhidi ya chama sasa tutamshughurikia mpaka akubali kwamba CDM haitishiki kwa jina wala vigagula.

Peeeoples!!
 
Kutokana na hali hali halisi mimi kama Matola nimekuwa nikiunga mkono harakati za Chadema kisiasa.

Ila kwakuwa wametokea manyang'au wanaotaka kuzorotesha harakati za kuiondoa CCM madarakani bila kuwa wanachama wa vyama, sasa nadhani ni muda muhafaka wa mimi kuwa mwanachama wa Chadema na kuwashikisha adabu ng'ombe wote wanafifisha harakati za wapenda mabadiliko.

Nimefikia uamuzi huu kwa sababu tuko wengi ambao tumesapoti nabadiliko bila kuwa wanachama wa upinzani lakini ninachokiona sasa hakipaswi kufumbiwa macho.

We are going to destroy all traters na mapandikizi yote, na soon nitakuwa verified user hapa JF ili kumaanisha vita hii wajinga wote wanashindwa.

Chadema ni mpango wa Mungu hakuna mmpumbavu yoyote wa kuzima harakati hizi.

Cc; Ben Saanane Mungi Tumaini Makene
Kama Chadema ni mpango wa Mungu basi huyo Mungu wako ni dhaifu sana amekubali kuwa mpinzani wa CCM mipango ya Mungu haina nguvu.
 
Last edited by a moderator:
Matola kichwa umepewa ufikirie sio kusukia na kunyoa viduku. Yani unakuja cdm kumtoa zitto? Yule hatoki na wala hafukuzwi. Team zitto tupo imara tumewabana jikoni na chooni,hapaliki wala hapanyeki! Wameshndwa wenzako seuze wewe? Verified id my ass!
 
Narudia tena kukuambia Chadema pambaneni na CCM siyo kupambana Uislam.

Wewe andika upendavyo dhidi ya Uislam wala hakuna wakukukataza ni haki yako.

Mtakutana na Wislam wakati wa uchaguzi mtakapokwenda kuwaomba kura mwaka 2015.

Weka ushahidi kamanda Waislam wakusome.

acha kupotosha thread, kwani ponda alipigwa risasi na chadema..
 
Kutokana na hali hali halisi mimi kama Matola nimekuwa nikiunga mkono harakati za Chadema kisiasa.

Ila kwakuwa wametokea manyang'au wanaotaka kuzorotesha harakati za kuiondoa CCM madarakani bila kuwa wanachama wa vyama, sasa nadhani ni muda muhafaka wa mimi kuwa mwanachama wa Chadema na kuwashikisha adabu ng'ombe wote wanafifisha harakati za wapenda mabadiliko.

Nimefikia uamuzi huu kwa sababu tuko wengi ambao tumesapoti nabadiliko bila kuwa wanachama wa upinzani lakini ninachokiona sasa hakipaswi kufumbiwa macho.

We are going to destroy all traters na mapandikizi yote, na soon nitakuwa verified user hapa JF ili kumaanisha vita hii wajinga wote wanashindwa.

Chadema ni mpango wa Mungu hakuna mmpumbavu yoyote wa kuzima harakati hizi.

Cc; Ben Saanane Mungi Tumaini Makene

unataka mabadiliko alafu unakwnda kwenye siasa.umepotea tafuta kazi ya kufanya,au una kauharifu unakafanya nini unatafuta mwamvuli?.karibia tunaanza kukata vichwa vya wanasiasa wanaotuzingua.wanakula kodi zetu wanaishia kulumbana tu.so ujishike kwa tahadhari huko.
 
Last edited by a moderator:
Matola kichwa umepewa ufikirie sio kusukia na kunyoa viduku. Yani unakuja cdm kumtoa zitto? Yule hatoki na wala hafukuzwi. Team zitto tupo imara tumewabana jikoni na chooni,hapaliki wala hapanyeki! Wameshndwa wenzako seuze wewe? Verified id my ass!

je ccm mnaweza kumtoa lowasa..
 
unataka mabadiliko alafu unakwnda kwenye siasa.umepotea tafuta kazi ya kufanya,au una kauharifu unakafanya nini unatafuta mwamvuli?.karibia tunaanza kukata vichwa vya wanasiasa wanaotuzingua.wanakula kodi zetu wanaishia kulumbana tu.so ujishike kwa tahadhari huko.

tuanze na lowasa, kikwete, kinana, riz1, chenge,shimbo, zitto,azan,nchemba, makinda na msaidizi wake..
 
Magamba tujipange tuu mpango wa mungu utatimia tuuu kuwaondoa hawa maccmmmmmmm.
 
Mkuu Matola,

Umepotea njia. Vijana werevu sasa hivi wameshashtukia kwamba Chadema ni mradi binafsi wa watu fulani. Ndio maana wapo wanaoweza kufanya chochote wanachotaka bila kuchukuliwa hatua lakini wengine wakikohoa tu wanakula kibano.

Fikiria kwa makini, unapotea njia...

huyu nae daktari mzima badala ya kutibu unadowea buku saba za lumumba; shame on you!
 
Kazi sio kuwatoa magamba bali kuisafisha Chadema kuondokana na wapuuzi kama Zitto na wappumbavu wake na kusafisha kusiwe na Majihadist kama THE BIG SHOW.

Nilitokea kuzikubali sana hoja za huyu jamaa THE BIG SHOW ila kwa mada zake zilizopita huyu jamaa hafai kabisa kwa mihemko ya kidini,nimemdharau sana kwa kweli.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom