- Thread starter
- #101
AhsanteKamchukulie RB shenzi huyo hawezi kukunyanyasa namna ile afu et aje kukulazimisha kurudiana tena kwa vitisho. Acha UFALA
AhsanteKamchukulie RB shenzi huyo hawezi kukunyanyasa namna ile afu et aje kukulazimisha kurudiana tena kwa vitisho. Acha UFALA
Kama huwezi its okey, ila kama ungeweza nisinge kushangaa.Siwez Mana na huko keshazaa pia so atakuja kunizonga tu..
SawaKama huwezi its okey, ila kama ungeweza nisinge kushangaa.
But he is a man all men Makes mistakes.
Hata hawa wana jf wanao jifanya wana muita kwa lugha kali nao wana makosa yao pia so ni kwaida
Nahc hajamuacha bado ila kuna siku aliniambia yuko tyr kumuacha nikikubali kurudiana nae..Katika maelezo yako umesema baada ka kukutelekeza alipata mwanamke mwingine akamwoa . Hujatuambia walidumu muda gani na kwanini nae aliachwa mpaka kutaka kurudiana na wewe tena baada ya kuona umefanikiwa kimaisha . Mungu anavyojua kuadhibu rudiana nae utapoteza vyote ulivyotafuta baada ya kukuacha . Mpaka kuja kuomba ushauri humu JF . Unaonekana una kisebusebu na kiroho papo .
HahahahhhhAnaona movies kaniambia akija baba mwengine namuua nampiga pistol au naeka sumu kwenye chakula chake
hahahhh alivyojibu kwa ukaliWe ni shemu tuu, si uitike au
Hiyo chance wala hastahili kupewa, kumpa mtu second chance ni kumruhusu aje kukumaliza kabisaaHahahaha
Wanaweza kubadilika kuwa wema
Muacheni ampe chance tena, its not too late to start again
iceman anachotaka huyu dada akateseke kwa mara ya piliHiyo chance wala hastahili kupewa, kumpa mtu second chance ni kumruhusu aje kukumaliza kabisaa
Kwanza hujitambui afu huna msimamo unashindwa kuwaza uliyotendewa na future yako ya sasa unaanza kuwaza kurudiana na MTU aliyekuona hufai huna dhamani Leo anakuona unamaisha mazur anataka kuja kukuharibia afu asepe, huyo mtoto umemzaa ww na ww na ndiye wakumkontrol kuhusu atakaye kuoa atamuua hayo ni matishio tuu na nikuambie ukingia mkenge katika hili lazima uje tena jamii forum kuomba ushaur kua sa iv unataman ardhi ipasuke uingie, yan mwanaume alikua hakutak toka mwanzo ukalazimisha ukaolewa akakutesa vyakutosha had talaka had ndugu zake wakawa wanakuzarau Leo unamaisha mazur anakutaka mrudiane mlee mtoto ,tumia akili wanaume hawajaisha tulia utapata pumziko la moyo na maisha yako, lazima ujitambue na cyo kua kama kuku, unamchinja mwenzao na wanaona, ukimwaga pumba wanakuja unakamata unachinja tena, embu tumia akiliMm Ni kijana mwenzenu, Nina utata kidogo ktk maisha yangu naomba mawazo yenu.
Nilipata kuwa na mahusiano na kijana mwenzangu wakat tukiwa chuo. Mapenz yetu yalikuwa matam tu tulipendana sana, mpk ilipofika hatua ya kumaliza chuo yule kijana akaenda kwao na mm nikawa nipo tu home.
Kwa vile kila mmoja alikua anakaa mbali na mwenzie na mm nilikuwa cwez kukaa mbali nae nikaamua kumshauri aje nyumbn kuniposa anioe. Yaani kumuambia suala la ndoa tu akawa km nimemfukuza.
Nikafanya jitihada nikamtafuta nikamuambia lazima anioe Mana alishakula tunda langu, ikawa ugomvi hataki mpk wakaingia wazee akalazimishwa akalazimishwa ndo akakubali kunioa.
Baada ya kunioa nilijuta Bora ningekaa nyumbani nikatafuta issue nikafanya , yn mume alikuwa ananipiga, ananisimbulia, ananisimanga kila baya ananifanyia. Huduma Hana ukimuambia anasema kachukue kwenu me sikutak.
Dah nikastahmili nikapata mimba, nilipopata tu mimba mume wangu alizid vituko harud kabisa cjui analala wap. Siku Moja akaniambia nenda kwenu me nataka kusafr, apo nilikuwa na mimba 6 months.
Kumbe yule bwana hakusafr Wala nn anaonekana mjini anadunda nikaja kusikia keshaoa mke mwengine kwangu hapiti kabisa. Nikimpgia cm hapokei Hana mawasiliano na mm iliniuma sana. Kwa uchungu na hacra nikazaa nikiwa na mimba miez Saba.
Baada ya kujifungua niliumwa sana na mtoto pia alikua mgonjwa, babaake alibadlisha namba na tulipokuwa tunakaa akahama.
Ndipo nilipoenda kwao kumuulizia lkn nashangaa ndugu zake walinidharau na kunicheka Kisha wakanipa waliosema mzigo Wangu ambayo ilikua Ni talaka.
Mume wangu aliniacha ktk Hali hii ngumu mm naumwa na mtt anaumwa kwa kweli nilikua namuhitaji nikaondoka nikashukuru mungu.
Kwa kwel nilipoteza muelekeo nikakosa dira nikijiangalia baba yangu alishakufa, mama nae mtu mzima Hana kitu. Nilisomeshwa kwa msaada wa jumuia fulan lkn nilishindwa kufanya vizur kutokana na mapenz nilijuta na kulia sana.
Sikua na msaada nikawa nauza maandazi kwa ajili ya kujikimu mm na mtoto na mama pia.
Siku Moja katika pita pita zangu nikakutana na rafiki yangu wa zamani alinishangaa kuona nilivyochoka akaniuliza yamenikuta yepi? Nikamuhadithia akanihurumia sana nilishaanza kukonga wakati nilikuwa na 23 years old.
Rafiki yangu akaniuliza unataka kufanya kaz za ndani Oman nikamuambia ndio, akanipeleka kwa mtu fulan hivi akaniambia yy atanifanyia Safari. Bac nikaondoka Tanzania nikaenda Oman mwanangu akiwa na miaka 3 na alikua anaendelea vizur japo alikua mwembamba sana.
Nashkuru mungu kumbe hii ilikua ndio njia yangu ya kunifungulia milango ya kheri na barka, nikawa napata pesa Sasa natuma nyumbani. Niliporud nikakuta nyumba yetu ishajengwa vizur na milango ya maduka miwili. Sikutosheka nikarud Tena Oman tukafungua biashara pale home duka Moja la vyakula na Moja stationaries Kuna ndugu zangu wanauza pamoja na mama. Niliporud Tena nikajenga nyumba yangu na biashara ikakua nimekod mlango mjini nikaweka nguo za kike. Huu mwaka wa tano nipo Oman nataka nikirud next year iwe ndo mwisho sirud ntakuwa na kila kitu nilichokuwa nahitaji.
Tatizo Sasa yule kijana aliyeniacha kwa dharau akanifanya nichukie wanaume wote amepata habari zangu na mtoto kampa namba yangu ananipigia kila sekunde ananiambia mke wangu turudiane tulee mtoto wetu. Jaman na mtoto nae anasema nirud kwa babaake km sitak nikiolewa na mtu mwengine atamuua.
Nipo njia panda nampenda sana mwanangu Ila siko tayar kurudiana na yule babaake nifanyeje jamani!!
Huyo mtoto miaka yote alimuona babake akimsaidia nini labda, ongea na mwanao umueleweshe na huyo mwanaume anazidi kukuumiza kupitia mwanao na wewe unakubali tuuTatizo linakuja kwa mtoto babaake anaenda kumtia maneno na mm niko mbali so maneno yanamuingia mpk anaanza kunichukia
Huyo sio wa kubadilika, hawezi mjaza mtoto sumu ili amchukie mama yake halafu useme amebadilika. Kuna mbinu nyingi za kutumia ili kurudiana na mtalaka wake sio lazima kutumia kigezo cha mtoto. Huyo janaume ni Bashite tuuMaisha ndio yalivo kuna time huwa watu wana change, na wanachange sio kwa muda tunao taka sisi ila kwa muda wanao taka wao na kwa matukio wanayo kutana nao wao.
So msikilize, mchunguze kwa kuda mrefu then amua.
Usijizuie kama unahisi una mfeel na unadhan anaweza change.
Mzima weweHaya shem
Nimekubali ila kajibu bado hujanipa
Hebu mwambie mwaya, anaanzaje kwanza???Kwanza pole sana na matatizo makubwa yaliyokukuta. Pili samahani kwa lugha yangu kali. Utafanya upumbavu wa hali ya juu kama ukiamua kurudiana na huyu shetani. Sijui hata kwanini unapoteza muda wako kuongea naye. Jitambue bi dada jithamini, jipende na ujiheshimu. Mbona kuna wanaume wengi tu wa kumwaga!? Kwanini urudi tena kwa huyu shetani!? Kwa sababu sasa una Mali!?
Hehehehahahhh alivyojibu kwa ukali
Kwa nini lakini hamhurumii mtoto wa mwanaume mwenzakeiceman anachotaka huyu dada akateseke kwa mara ya pili
Duu hi Kali wangap walikua machangudoa wanaume waliokua nao idad haijulikan we unakazana ulishakula tunda lazima unioe, kwan mwanaume anangalia tunda wife material, usizungumzie hillo tena mana ulilazimisha penz ukasota sa iv mungu kakuonekania naona umekumbuka mateso nenda utuletee mtejeshoNiliona alishaniharibia yeyote mwengne acngeniamn
hivi ile slogan ya mama ongea na mwanao imempitajeHuyo mtoto miaka yote alimuona babake akimsaidia nini labda, ongea na mwanao umueleweshe na huyo mwanaume anazidi kukuumiza kupitia mwanao na wewe unakubali tuu