- Thread starter
- #81
Tatizo linakuja kwa mtoto babaake anaenda kumtia maneno na mm niko mbali so maneno yanamuingia mpk anaanza kunichukiaKama huo ndo msimamo wako, huu uzi wa nini sasa
Tatizo linakuja kwa mtoto babaake anaenda kumtia maneno na mm niko mbali so maneno yanamuingia mpk anaanza kunichukiaKama huo ndo msimamo wako, huu uzi wa nini sasa
Anaona movies kaniambia akija baba mwengine namuua nampiga pistol au naeka sumu kwenye chakula chakeMamaa wakati wenzako wanazaa watoto wewe umezaa jambazi. Mwanao wa chini ya miaka kumi anatishia kuua mtu? Heee! Huyo naye atakutesa kama babaake yaelekea ni damu yake kweli.
Kwa nn mda huu lkn hajabadlika tangu zaman?Una amini kuwa watu hubadilika!?
Maisha ndio yalivo kuna time huwa watu wana change, na wanachange sio kwa muda tunao taka sisi ila kwa muda wanao taka wao na kwa matukio wanayo kutana nao wao.Kwa nn mda huu lkn hajabadlika tangu zaman?
AhsantePole sister
Sio muhimu buana
Ona sasa aliyekutoa bikra ndio huyo gold digger
SawaSio muhimu buana
Ona sasa aliyekutoa bikra ndio huyo gold digger
AhsanteUshawai ckia mjaasir anaacha asili... Kackia unapesa ndo maana anataka kukurudia Dada uckubal kabisa aina hyo ya wanaume ni mazuzu kabisa
Ahsanteno retreat no surrender.....songa mbele na maisha yako ....fanya kama ilikuwa story iv halafu kitabu kikaungua moto ko hakuna kumbukumbu zilizobaki kickwan mwako...ila nyie wanawake amuelewekaki utakuta si tunabwabwaja hapa mara kesho umerudiana nae...kazi kwako sasa!!!! kwa maumivu hayo usirudi nyuma
Ahsante sanaAchana naye. Ishi kama ulivyoishi hiyo miaka yote aliyokuacha. Hapo kwako anatafuta mali hakuna MAPENZI YA DHATI.
Nooooooo!! I can't..Hahahaha
Wanaweza kubadilika kuwa wema
Muacheni ampe chance tena, its not too late to start again
AhsanteUamuzi wako....
AhsanteUMENIWAHI MKUU bila kumung'unya maneno mtu huyo ni muuaji kwako ukimrudia haki ya Mungu anakuua kama si kukufirisi mali zako...hana kingine anachokihitaji kwako zaidi ya mali zako...kuhusu mtoto mwambie amfuate baba ake wewe si ndio uliye mzaa kwanini mtoto wako akushinde maarifa...?
Thanksachana na huyo falla aiseee..usitumie hisia kuamua tumia akili
be strong
Ahsanteusisubutu hafai hata kwa bure huyo jamaa
Siwez Mana na huko keshazaa pia so atakuja kunizonga tu..Maisha ndio yalivo kuna time huwa watu wana change, na wanachange sio kwa muda tunao taka sisi ila kwa muda wanao taka wao na kwa matukio wanayo kutana nao wao.
So msikilize, mchunguze kwa kuda mrefu then amua.
Usijizuie kama unahisi una mfeel na unadhan anaweza change.
Haya shemWe ni shemu tuu, si uitike au
Ahsante sana